Babu huyu shemeji yako ana mashitaka mengi sana ya kujibu...hata sijui atajiteteaje umwelewe...Ukinionea RussianRoulette mwambie a-come this way.... Kuna ukaguzi flani hivi sikumfanyia. Afu yule shem wangu wa ukweli.... Damn nshaanza kusahau majina ujue. Yes, AshaDii mwambie ana kesi ya kujibu... Kama mtori ulimshinda si angenipikia uji tu....
Karibu Mpenzi, tulikumiss sana.Wapendwa salaam..... Baada ya vita kali na mazoezi ya kutosha: mie ODM wa wajukuu, mashemeji, wapwa, mahommies na mafellow tablets niko standby kuanza mbio za kurudi kwetu pazuri MMU na Chit Chat pa ukweee. Nahitaji bado sala zenu ili nirudi kwa ushindi. Nani atampokea babu? This time hakuna cha babu kurudi kitandani.... Nimeshtuka! Orayt ODM... On your mark.... Get set.... Gooo!
sasa King... Maadam ushajua wanipendaga mbona nimebung'aa huku inbox sioni foleni za PMs. Hujui ku do the needful na vikongwe? Slow and tender actions, maxmum satisfaction, minimum risk, assuarance of soon and very soon benefits of Next of kin. Wahi kabla hujawahiwa lol
Unaitwa kule chit chat na bht.
Umbea anapenda anaogopaje kusutwa?Unaitwa kule chit chat na bht.
Namshanga!Umbea anapenda anaogopaje kusutwa?
Iribini pole kaka!
Wapendwa salaam..... Baada ya vita kali na mazoezi ya kutosha: mie ODM wa wajukuu, mashemeji, wapwa, mahommies na mafellow tablets niko standby kuanza mbio za kurudi kwetu pazuri MMU na Chit Chat pa ukweee. Nahitaji bado sala zenu ili nirudi kwa ushindi. Nani atampokea babu? This time hakuna cha babu kurudi kitandani.... Nimeshtuka! Orayt ODM... On your mark.... Get set.... Gooo!
Umbea anapenda anaogopaje kusutwa?
Hehehe! Mke mwenza kumbe wewe muoga hivyo?kuna mlevi anapenda hangover? muulize ODM akuambie!
Ukinionea RussianRoulette mwambie a-come this way.... Kuna ukaguzi flani hivi sikumfanyia. Afu yule shem wangu wa ukweli.... Damn nshaanza kusahau majina ujue. Yes, AshaDii mwambie ana kesi ya kujibu... Kama mtori ulimshinda si angenipikia uji tu....