Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,618
Ndio kabsaHehehe a
Nyie mnapo iongelea kenya?!
Ndio kabsaHehehe a
Nyie mnapo iongelea kenya?!
Mwanaume wa KenyaNimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!
Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!
Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??
Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?
Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
Hii maneno ungemshauri baba J, ingekua vizuri sanaOdinga anarusuhu kukosolewa ndani ya chama
Na kila mtu kuwa na maoni yake...
Haaaaaah mpendazoe ndiye kanichekesha sana et jpm anpewa ushauri na baraza la mawaziri na ccm hivi uo ushauri ccm kwanini hawakuutoa kwa jk lakini wampe magufuli!!!Hii maneno ungemshauri baba J, ingekua vizuri sana
Sasa wewe unamwambia mwenzako aache woga, halafu unawaambia mods wafute maneno yangu kwa woga?Acha woga, wenzio/huyu (w)ameshaamua kufa. Life has no meaning to them! Tuko tofauti! ( Ila mods futa hiyo isije ikaleta shida kwenye mtandao wenu kufungiwa)
Hujanielewa, JF wanaweza kufungiwa mtandao wao kwa kuruhusu maneno makali kwa Rais! Hope we are together now! Siyo yule aliyeandika, yeye ameshajitoa sadaka, come what may!Sasa wewe unamwambia mwenzako aache woga, halafu unawaambia mods wafute maneno yangu kwa woga?
Practice what you preach.
Nani huyoHujanielewa, JF wanaweza kufungiwa mtandao wao kwa kuruhusu maneno makali kwa Rais! Hope we are together now! Siyo yule aliyeandika, yeye ameshajitoa sadaka, come what may!
ANGALIA POST #67Nani huyo
Tena kwenye ukurasa wa mbele wa gazetiWewe hujawahi kutoa maoni kwenye siasa za Kenya....!!??
Kumbe unamjua yuko na makampuny ya ujenzi, It company na mambo ya gesi !!!Hili jamaa litatengeza noti hii miaka mitano mpaka mtashangaa,
huyu ni businessman,yaani hachezi mbali,kandarasi hizi zitakuwa utelezi tu juu ya ganda la ndizi
Hujanielewa, JF wanaweza kufungiwa mtandao wao kwa kuruhusu maneno makali kwa Rais! Hope we are together now! Siyo yule aliyeandika, yeye ameshajitoa sadaka, come what may!
Namshauri mungu mtu MboweHii maneno ungemshauri baba J, ingekua vizuri sana
Kivipi?Namshukuru Mungu kwamba Magufuli ameanza kufanya haya mambo mapema hata ikitokea asipochaguliwa uchaguzi ujao(maana idadi ya majuha inaongezeka kwa kasi)taifa litakuwa limepiga hatua.
Hatua anazochukua Magufuli kuliweka hili taifa kwenye mstari ulionyooka naziunga mkono100%