Odinga umeshapotea achana na Tanzania!!

Odinga umeshapotea achana na Tanzania!!

Anatafuta urafiki na baba J ili asaidiwe vikosi wakati wa uchaguzi. Asituingize kwenye mambo yao ya vita vya uchaguzi sisi tulishamalizana na uchaguzi sasa hivi tuna mambo yetu ya ukuta, hapa kazi tu, mwendo kasi, watumishi hewa, kutumbua majipu, kurudia chaguzi ndogo n.k
Haaaaaah yakweli hayo

Nimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!

Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!

Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??

Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?

Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
Mbona povu mkuu, embu kapate hata kikombe cha maji.
 
Hizi siasa mkuu wakaya asiposhauliwa vizuri nawashauli wake atatuingiza matatizoni najirani zetu Kenya. Haiwezekani eti Odinga ndo swahiba wake, ona sasa anaanza eti kuongelea upinzani wa Tanzania kisa nirafiki wa Rais. Urafiki wao waendelee tu ila anapojaribu kuingilia siasa zetu ajue kabisa anajiweka matatizoni kuliko anavodhania. Kwahiyo sasa tuseme Rais wetu yuko bega kwa bega narafiki yake huyu kumuangusha Kenyata? Maana kama ameweza kukosoa wapinzani wa Tanzania wakati nayeye nimpinzani huko Kenya tafsiri yake nikwamba hawana nia nzuri na serikali halali ya Kenya chini ya Kenyata.

Tangu Uhuru wa nchi yetu, Tanzania imejitanabahisha kama ni nchi isiyofungamana na upande wowote kisiasa Kwa nchi marafiki. Itikadi hiyo ndiyo imetufanya sisi kuwa kisiwa cha amani. Sasa haya yanayoanza kujitokeza sasahivi yanayoashilia viongozi kuitupa itikadi hiyo Kwa mihemko tu kisa eti urafiki baina yao, wajue kabisa mwisho wake nikutuletea matatizo. Wakumbuke hata wazee wetu waasisi Wa Taifa hili walikuwa na marafiki wengi tu ila waliheshimu itikadi yetu yakutofungamana naupande wowote kisiasa nanchi yoyote kwani walijua kufanya hivyo madhara yake nimakubwa mno.

Wasione nchi hii wameikuta ina amani wakadhani imedondoka tu, bali amani inahitaji uangalizi wahali yajuu sana. Vitu vya aina hii nivya kukemewa nakila mtanzania mwenye mapenzi mema nanchi yake nasiokusifia tu humu kama matutusa wakati kesho tukipata matatizo tutakaopata matatizo tutakaoumia nisisi raia wala sio viongozi hao maswahiba. Uswahiba wao hatuwakatazi lakini usivuke mipaka ya mamlaka za nchi.
 
Mk
Show me your friends and I will tell you who you are.

Magufuli ni mpuuzi. Ana marafiki wapuuzi kama Odinga.

Ukitaka kujua upuuzi wa Odinga soma kitabu cha Miguna Miguna "Peeling Back The Mask: A Quest For Justice in Kenya".
Mkuu utazingirwa.Mbona unaongea real shit.
 
Mk
Mkuu utazingirwa.Mbona unaongea real shit.
Real recognize real. Mimi kunizingira inabidi wajipange.

Nimeweka link ya kitabu watu wasome.

Hii link hapa chini inakupeleka kwenye a direct download of the PDF.

614 pages of knowledge and expose on Raila. Kitabu kina mpaka appendix yenye supporting documents mwisho.

Tusiwe wavivu kusoma tu.

Watu tunaongea kwa data na vitabu tulivyosoma. Sio kelele tu.

https://www.google.com/url?sa=t&sou...MfqUUMVnITPtmUV7g&sig2=5mlvdxqMs2MqlEaIt6WrEA
 
Nimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!

Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!

Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??

Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?

Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
Odinga is a spent force and will never be a president of Kenya, hopeless guy!
 
Mk
Mkuu utazingirwa.Mbona unaongea real shit.
Acha woga, wenzio/huyu (w)ameshaamua kufa. Life has no meaning to them! Tuko tofauti! ( Ila mods futa hiyo isije ikaleta shida kwenye mtandao wenu kufungiwa)
 
Hivi ni lini tutaheshimu maoni ya watu wengine...!!!?

Huyu angeongea mazuri ya kuisifia CHADEMA ungekuja na lugha za kejeli kama hizi zaidi ya kumpamba kwa sifa....!!!??
 
Back
Top Bottom