hana lolote aende zake huyoNimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!
Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!
Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??
Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?
Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
Mkuu kumbe nawewe umeliona hilo odinga eti anataka kumtoa Uhuru kwa kutumia mbinu chafu kama hizo wakati mwenzie anonekana ni mzarendo na mpenda democrasia kila wakenya wanachokidai yeye anawapa !!Anaurafiki wa kitambo Sana na Mkuu ss naona anajaribu kujiwekaweka angalau apate headlines lkn ni upuuzi tu usio na mashiko. Hivi wanazuia vyakula kuuzwa Kenya ili wamtoe aliye madarakani mbinu mgando Sana hizo wafanyabiashara wanaumia surplus kibao perishable goods zinawaletea headache kila kukicha hamna mtetezi. Yaan hyu raila angajifungia tu mdomo asitake kuamsha vilivyolala.
Akiri ndio nini?Wewe unafikiri Mimi Nina mawazo kama ya kwako ya kichadema chadema na kigamba gamba sipo uko Mimi sijashikwa akiri kama wewe nipo huru nakosoa kokote
Nimependa mawazo yako.Eti odinga ikulu ataiona kwenye TV.Ukawa wamuunge mkono Uhuru kenyata kwenye uchaguzi ujao Kenya,kenyata pia awaunge mkono ukawa 2020,
Akiri ndio nini?Wewe unafikiri Mimi Nina mawazo kama ya kwako ya kichadema chadema na kigamba gamba sipo uko Mimi sijashikwa akiri kama wewe nipo huru nakosoa kokote
Uo ndio ukweli yupo na laana ya baba yake alipokuwa akigombea naye kipindi kile eti wote wanagombea uraisNimependa mawazo yako.Eti odinga ikulu ataiona kwenye TV.
Tangu lini umeanza kupakatwa?Odinga anatumia vizuri Ruzuku kutoka serikalini, Anatumia ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani kenya.
Odinga habadili katiba ya chama kukifanya cha ukanda na udikteta ndani ya chama.
Odinga anarusuhu kukosolewa ndani ya chama
Na kila mtu kuwa na maoni yake.
Kwahio huyo si mwanachama Msaka Tonge wala Kibendera
Hilo swali muulize mamakoTangu lini umeanza kupakatwa?
Wajinga hawataisha duniani; huyo odingwe wako anatakiwa akaondoe ukabila kwanza kenya; atumie nguvu nyingi kuwashauri wakenya wenzake kuacha siasa na dini za ukabila;Unasikia!!?
mbowe mwenyekiti bado huja balehe mpaka sasa una mtoto bado mwenyekiti
sawa mzibua choo wa lumumba na mkata viuno wao,,, tatizo sio wewe ni yule alie kuleta duniani kupitia mikesha ya mwenge ndio maana humjui baba yako ni nan,,, sura kama ngozi ya gotiHilo swali muulize mamako
Hehehesawa mzibua choo wa lumumba na mkata viuno wao,,, tatizo sio wewe ni yule alie kuleta duniani kupitia mikesha ya mwenge ndio maana humjui baba yako ni nan,,, sura kama ngozi ya goti
Kama kawaida yenu kutoa povu mnaposikia habari hasi dhidi yenuNimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!
Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!
Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??
Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?
Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
Mpinzani gani uyo mjinga tu na ukabila aende kwao ashugulikie mambo ya ODM kinameguka baada ya Ababu Namwamba kumuachia chama!!!Kama kawaida yenu kutoa povu mnaposikia habari hasi dhidi yenu
Hivi kuna mpinzani Tanzania unaeweza kumlinganisha na Odinga?
Exactly agenda yake inatia kichefuchefuOdinga kwa nini anafanya ziaranyingi kuliko rais wa Kenya? Anakuja kuchangisha hela za kampeni? Anataka kutugombanisha na wakenya?