The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Huo ni mtaa wenu !hujaja uswahilini wewe ni motooKwa dalili zilizopo huku mtaani,hiyo October wananchi wengi watalala Tu nyumbani,hawaendi kuandamana wala kupiga Kura!
Asante sana mkuu wangu umeiweka vema sana🙏🏿✌🏿Natofautiana kidogo na wewe hapa.
Hii siyo '"hoja weak"' tena katika mstakabali wa nchi hii kwa sasa. Huyo anayekutupia zigo la "dini" elewa maana yake ni nini. Yeye, kama walivyo wenzake wote wanaamini kuwepo kwa "AMANI"; wakati hao wengine, pengine ukiwemo wewe na mimi "wadini", tukijuwa hakuna "AMANI isiyokuwa na HAKI" ndani yake.
Wewe na mimi ni wapenda vurugu, wavunja "AMANI", wadini! Ndiyo maana hatumtaki Samia Suluhu Hassan anayelinda amani ya nchi hii. isiyo hitaji HAKI.
Nimezunguka sana!
BAKWATA na wenzao wote wakiitumia CCM, wanalinda AMANI ya nchi hii; TEC na wenzao wote wanaohimiza HAKI ili ilinde AMANI yetu, ni wapenda vurugu ndiyo maana hawampendi Samia mlinda AMANI, asiyetaka HAKI
Sisi wa upande huu ni "WADINI"
Yeah, na Bado mtaumia zaidi maana yupo sana. Hoja mufilisi za ukanda na udini zimefeli vibaya mnooooo!!Na bado!
Kamwe Mungu hawezi kumpa madaraka mpumbavu wa namna hii aliyejaa uongo, chuki na ubaguzi. Mtaishia hivyo hivyo kuzishazusha uongo wenu wa ajabu ajabu basi. Samia mtaendelea kumuona mtake msitake
Hahahahaaaa! Pole sana kaka mkubwa.![]()
8.2K views · 167 reactions | Watanzania amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku wananchi wanaanza kuandamana kabla ya Tarehe 29? Kimenukaaaaa, watu wanazivunja mwendokasi muda huu huko Magomeni. . @samia_suluhu_hassan Endelea kujidanganya kuwa Wa
Watanzania amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku wananchi wanaanza kuandamana kabla ya Tarehe 29? Kimenukaaaaa, watu wanazivunja mwendokasi muda huu huko Magomeni. . @samia_suluhu_hassan...www.facebook.com
Kwakuwa umeingia kwenye anga za mama Samia, basi utarudishwa kwenye level hizo.Nilishapita hizo level za kupewa pole😂😂
Hizo akili ulizo nazo wewe ziko wapi, mbona hapa haionyeshi kuwa unaandika kwa kutumia akili!Huna akili hebu nenda TikTok huko kwa nyumbu wenzio mkaebdeleecna mipango ya maandamano yenu, ni oktoba mosi Leo.....Bado siku 27
Tulia nyumbu, mbona tunaompenda hatujalazimishwa na yeyote?!!! Tunampenda sababu hatujaona baya lake kuwazidi waliomtangulia.......zinapozidi hizi kelele hizo kutoka kwa haters wake ndipo mashaka yetu yanapozidi kuwa Kuna kitu kipo nyuma ya pazia. Na hiko kitu tumeshakijua; udini na ukanda......tutamlinda kama tulivyolinda wengine waliomtangulia, kwa haki kabisa.Hizo akili ulizo nazo wewe ziko wapi, mbona hapa haionyeshi kuwa unaandika kwa kutumia akili!
Uhakika nilio nao ni huu; kwamba Samia ni mtu mwovu; mtu asiye na nia njema na taifa hili. Anatumia hila na kutegemea mabavu kubaki madarakani.
Mimi namwonya tu, yeye ni binaadam tu kama wengine wote. Asione hiyo mitutu ya bunduki ikimzunguka na kusahau kuwa mitutu hiyo hiyo inaweza kugeuziwa kwake wakati wowote.
Asilazimishe kutawala watu wasiotaka awatawale.
Kwani wewe ulidhani tulikuwa hatujui sababu ya nyinyi kumzobokea (wala siyo kumpenda).Tulia nyumbu, mbona tunaompenda hatujalazimishwa na yeyote?!!! Tunampenda sababu hatujaona baya lake kuwazidi waliomtangulia.......zinapozidi hizi kelele hizo kutoka kwa haters wake ndipo mashaka yetu yanapozidi kuwa Kuna kitu kipo nyuma ya pazia. Na hiko kitu tumeshakijua; udini na ukanda......tutamlinda kama tulivyolinda wengine waliomtangulia, kwa haki kabisa.
Mzee bila dola ccm hamna kitu.Nilishangaa sana Jana nilipokaa na watu wakijijini Hadi na wale wenye baiskeli wakisema hawamtaki huyu mama.
Tena usukumani wanasema ni dharau kubwa sana Nchi kuongozwa na mwanamke!!
Wanasema hawawezi kumpigia kura mwanamke hivyo Bora washinde wanacheza bao!!
Hii ni kijijini ndanindani huko