Mkuu, nakuelewa sana tu sababu nayajua maumivu ya kuendelea kumuona usiyempenda akizidi kushamiri. Uwepo wa Samia unawaumiza sana, mnakesha kufanya Kila aina ya uchawi, majungu, fitina n.k lkn mnadunda tu mwamba.
-mlipiga Kila aina ya mkwara asichukue fomu, kachukua.
-kamanda wenu, kale kambaumbau polepole, Sasa hivi watu wanajionea ni mpoki tu au joti wakiwa kazini.
-novena yenu imefeli, Mungu hapokei sala za majungu na fitina na wivu
-nia yenu ya kulazimisha watu woooote wamchukie imefeli, Sasa mmepaniki na kutumia nguvu kuwanyamazisha katika kushiriki ile kitu roho inapenda.
-yule kamanda wenu mwingine aliyetoa siku 10 kwa ukali mkubwa amepotea mazima, labda anajipanga lakini hatujui.
-uchuro wa mamia ya nyuzi zenu humu umebaki kuwa kichekesho tu.
Kilichobaki Sasa ni kitisho chenu hicho Cha kitoto, eti mtaandamana🤣🤣🤣🤣. Na wengine, wakiwa wamegubikwa na weusi wa unafiki kwenye nyuso zao na hivyo kutokwa na aibu, eti wanatangaza makongamano siku hiyo.......yote hii ni kuchanganyikiwa tu kutokana na chuki zilizopitiliza na kutaka kuitafuta shari. Wafanye makongamano nchi nzima tuone, na si dar tu. Wataachwa waendelee na makongamano yao na wengine kura tutapiga. Wakijaribu kutuzuia hapo ndipo itakapoeleweka kwanini jumapili inaitwa jumapili.
Hivi Unaikumbuka ile mada Yako ya 21st to remember?!!!!🤣🤣🤣