October to remember

October to remember

"---mabadiliko chanya ya kisiasa kati ya wananchi wa mataifa yote mawwili ya Tanganyika na Zanzibar"?

Mstari huu mwandishi hakuutendea haki hata kidogo, na kwa kufanya hivyo, andiko lake limekosa umakini stahiki.

Hata swala la Oktoba 14 nalo mwandishi katumia hisia tu; na matokeo yake yanaweza kuwachanganya wananchi ambao wamejiandaa kufanya kazi nzuri Oktoba 29.

Tuamue moja, Oktoba 14, au Oktoba 29? Tusiwachanganye waTanzania.
October 14 ni msingi wa maandalizi ya October 29.. Kumbuka tunataka tuziishi fikra na maono ya Hayati Mwalimu Nyerere!
Kuhusu Tanganyika na Zanzibar haya ni mataifa mawili hakuna ubishi bila kujali ukubwa wa maeneo.. Ukakasi uko kwenye Tanzania na Zanzibar!
 
Nitaisikitikia sana nchi yetu hii kama haya yataachwa yaendelee kama yalivyo pangwa na waovu hawa!

Ni vigumu sana kuamini kuwa kweli hii ni Tanzania kunakofanyika upuuzi wa ajabu sana huu.

Mwanamke asiye kuwa na sifa zozote za uongozi; akili kichwani kiduchi kabisa; tena toka nchi jirani, ambaye hata asili yake haijulikani vizuri; anaamua kulazimisha kuwatawala watu zaidi ya milioni 60!

Katika utawala wa miaka minne, kila uchafu umeonekana; tena anafanya kama hakuna anayeweza kuhoji chochote; na watu wakihoji, anajiita chura kiziwi asisikie kelele za waTanzania wakililia raslimali zao zinazosombwa.

Huyu mtu sasa analazimisha kwa nguvu abaki madarakani ili afanye uharibifu mkubwa zaidi!
Nchi nzima hii, hakuna wa kumzuia?

Hapana. Mimi namtabilia mwisho wake. na asipokuwa mwangalifu atapoteza kila kitu hadi uhai wake.
Kamwe Mungu hawezi kumpa madaraka mpumbavu wa namna hii aliyejaa uongo, chuki na ubaguzi. Mtaishia hivyo hivyo kuzishazusha uongo wenu wa ajabu ajabu basi. Samia mtaendelea kumuona mtake msitake
 
Mada ni nzuri na ndeefu, tatizo ni Moja tu;
IMEJAA UNAFIKI NA HILA ILIYOJIFICHA UVUNGUNI KABISA MWA MOYO...........ndo maana hakuna mafanikio kwenye Kila lenu la ,imdhuru Samia, Mungu anamlinda.
 
Tar 29 mtaniachia haka nikashushe Hilo dole
20250912_153553.jpg
 
Ninachosikitika sana ni kwamba, watanzania wataenda kupiga kura 29.10.

Ninasikitika sana, ila hawa ndio watanzania, sisi ndio watanzania.

Utashangaa sana kuona mistari mirefu watu wamejipanga kusubiri kutiki, wengi wao maisha yakiwa yamewachapa hata hatma yao ya kesho hawaijui, ila wanaruhusu genge la watu wachache kupora na kuiba rasilimali za taifa na kuzidi kujitajirisha.

Hawa ndio watanzania ninaotegema kuwaona 29.10.

Ikitokea tofauti na hivyo, kwamba either wamegoma kupiga kura au wameamua kuingia barabarani, basi nitaamini kuwa hata kusipokuwa na mabadiliko, ila mentality zitakiwa zimebadilika, na we will be nearing a new dawn!,
 
Back
Top Bottom