October 21, 2011: Mwisho wa Dunia!

unakumbuka mambo ya kibwetele uganda?,kuna watu wanaamini ayasemayo.swala la imani ni gumu sana.lakini kwenye maandiko inasomeka HAKUNA ANAYEJUA SIKU WALA SAA siku ambayo Masia atarudi!

Mayu ulimhola?

Lakini hata hayo maandiko yenyewe ni imani tu vile vile.
 
But I think in the next go-around he won't get as much coverage as he did in the first because his credibility has completely been shattered (not that he had one to begin with).
Makes little sense, if he didn't have any credibility to begin with then there isn't any credibility to shatter!

This ain't the first time he done it. I wouldn't underestimate his potential for a threepeat.
 
hivi hamna sheria za kumdhibiti mtu kama hichi kibabu kwa kudanganya dunia..? He's simply talkin shitt.!
 
Si imani ni mpotoshaji. Yeye mwenyewe haamini anachokihubiri. Kama ni imani ajiue yeye kwanza.
 
Hakuna mwisho wa dunia. Ila kuna mwisho wa nyakati. Dunia iko palepale ila nyakati mbalimbali zinapita na zitapita. Ukijua hayo hakuna mtu atakaekupotosha na kumwamini.
 
Umri wake ni 89 years, i have a doubt in his thinking level of capacity! Huyu bwana km ni imani basi imani yake ni zaidi ya punje ya haradani!
 

Vipi bado ujapata jibu kama kuna ukweli au la?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…