OCD Serengeti MCHIMABA MADINI, avuliwa madaraka yake

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
Yule shujaa wa kuchukua mali zake kama mtanzania, OCD (w) serengeti al;iyekamatwa na mhifadhi wa serengeti, amevuliwa madaraka yake huku daraja la utumishi likibaki vilevile. Kamanda Boazi alipoulizwa wadau wa OCD katika sakata hilo, alisema watawajibishwa na mamlaka husika zilizowaweka pale.

OCD huyo amenyang'anywa madaraka kwa kile wanachodai ni kupisha uchungunzi, kwa sasa atatumika katika ofisi za polisi mkoa wa musoma

source STAR TV jana saa mbili usiku habari
 
nimekubali kazi ya msela
 
Kiuendeshaji, Jeshi la Polisi halina tofauti na Serikali ya CCM.

kuna waraka unaowataka maafisaa kuitumikia CCM tena unawabana kuwa wakimaliza utunishi watakuwa kambi ya CCM tu na si vyama vingine. ndio maana walikuwa wote ni ngome ya CCM. Mkuu wa wilaya, Usalama wa taifa wilaya, na mkuu wa polisi wilaya
 
Yule shujaa wa kuchukua mali zake kama mtanzania, OCD (w) serengeti al;iyekamatwa na mhifadhi wa serengeti, amevuliwa madaraka yake huku daraja la utumishi likibaki vilevile. Kamanda Boazi alipoulizwa wadau wa OCD katika sakata hilo, alisema watawajibishwa na mamlaka husika zilizowaweka pale.

OCD huyo amenyang'anywa madaraka kwa kile wanachodai ni kupisha uchungunzi, kwa sasa atatumika katika ofisi za polisi mkoa wa musoma

source STAR TV jana saa mbili usiku habari

Aibu kubwa kwa Jeshi la police na Usalama wa Taifa pia.
 
Back
Top Bottom