OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

Kinana kakosa nini hadi akamatwe?

attachment.php
 
Tatizo nini hapo?

Au haujuwi chama tawala ni kipi?

Kazaneni na nyinyi mtapata fursa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.

Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?
 
Tatizo nini hapo?

Au haujuwi chama tawala ni kipi?

Kazaneni na nyinyi mtapata firsa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.

Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?

Eeeh???? hiz elimu za madrasa ni hatari.!!
 
Tatizo nini hapo?

Au haujuwi chama tawala ni kipi?

Kazaneni na nyinyi mtapata firsa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.

Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?

haujuwi - hujuwi
firsa - fursa
kasimama - alisimama

Bi mkubwa mapovu yanakutoka kama huna akili nzuri kutetea uovu wa mahawara zako!
 
jina lake nan huyo ocd twende tukamsemee kwa wazaz wake?
 
Mwanahabari Huru

Huyo OCD aanze kutafuta Kazi nyingine! the writing is on the wall. Matambo ya kijinga kama nayo tuliyaona Sana na kuyasikia Enzi za kina Ghadafi na Saddam Hussein na Mobutu, Leo Wako wapi? Mmoja alizibuliwa ndani ya culvert na mwingine alitenganishwa kichwa na Kiwiliwili, Mobutu alitupwa jangwani Morroco, sio Zaire!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo nini hapo?

Au haujuwi chama tawala ni kipi?

Kazaneni na nyinyi mtapata firsa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.

Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?

kwa akili za kuku kama hizi magaidi hayaji kuisha
 
Tatizo nini hapo?

Au haujuwi chama tawala ni kipi?

Kazaneni na nyinyi mtapata firsa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.

Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?

Mtu anae tetea uovu kama huu wa wazi hata ugaidi atatetea akisema umehalalishwa na mungu. Halaf mi sijawahi kuona huyu mama kaandika point mahali zaidi ya kujitoa ufahamu na kutetea ujinga
 
Tatizo nini hapo?

Au haujuwi chama tawala ni kipi?

Kazaneni na nyinyi mtapata fursa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.

Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?

Mwarabu asiejua kiswahili fasaha. Ngoja nikufundishe kidogo, na hili ndio tatizo mchungaji msigwa alilizungumza bungeni, akili ndogo kutawala akili kubwa. October mtaondoka tu.
Tatizo nini hapo? = Tatizo ni nini hapo?
Au haujuwi chama tawala ni kipi? = Au haujui chama tawala ni kipi?
Kazaneni na nyinyi mtapata firsa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku = kazaneni na nyinyi ili mje kupata fursa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.
Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini? = Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM wenzake, nyie kinawauma nini?
 
Tatizo nini hapo?

Au haujuwi chama tawala ni kipi?

Kazaneni na nyinyi mtapata fursa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.

Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?

Wakati mwingine huwa nakuona una akili lakini kwa hili mhhh!
 
Back
Top Bottom