Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
Acha uongo wewe, umeshakuwa mzee! Watu wakikungoja uwasalimie ndo kunakuwa na stage, viti, mapambo na mataa Kama hivi? Watu wa ccm lini mtajifunza kusema ukweli na kumuogopa mungu? Mtaondoka tu, kama sio leo ni kesho, lakini safari ya kuondoka imeshaanzaUongo huo, Kinana kasimama kuwasalimia watu waliokuwa wanamngoja hadi usiku. Ni kama Lowasa jana Zanzibar Airport.
Hivi ni lini mtajuwa kusema ukweli?