Nafikiri tatizo lililolipotiwa sio kudanganya CV, ila kudanganya kwamba anaumwa na kuendelea kulipwa mshahara wakati tayari ameacha kazi. Mbaya zaidi yeye ni kiongozi wa nchi. Sasa mimi nilidahni Kikwete alifanya home yake vizuri katika kuteua timu yake, lakini kwa kashfa hii inaonekana uteuzi wake una walakini. Kumbuka huyu ni kiongozi wa pili kuibuka na udanganyifu ukiacha wale waliodanganya PhD zao!
Tatizo nini hapo?
Au haujuwi chama tawala ni kipi?
Kazaneni na nyinyi mtapata fursa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.
Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?
Wakati mwingine huwa nakuona una akili lakini kwa hili mhhh!
Kusalimia wananchi hadi jukwaa linajengwa, viti vinapangwa, angesalimia akiwa ndani ya gari na kupita zake.
Unasemaje ccm walipobadilisha maana ya neno rushwa na kuita takrima?
Mtu anae tetea uovu kama huu wa wazi hata ugaidi atatetea akisema umehalalishwa na mungu. Halaf mi sijawahi kuona huyu mama kaandika point mahali zaidi ya kujitoa ufahamu na kutetea ujinga
polis wanatumika na ccm. juzi kinana kafanya mkutano wa hadhara mpaka saa 4 usiku lakini polis wanaangalia tu. sembuse salum kuzidisha masaa 2 tu. nimeamini ccm ni chama dola kinabebwa na vyombo vya dola. chadema toeni kauli mara moja juu ya uonevu huu.
kinana kakosa nini hadi akamatwe?
hapa jamaa anahutubia - inasemekana hadi saa nne usiku lakini hakuna police aliyethubutu walau kumhoji tu.
![]()
Hapa jamaa anahutubia - inasemekana hadi saa nne usiku lakini hakuna Police aliyethubutu walau kumhoji tu.
![]()
Alihutubia mkutano wa hadhara saa nne usiku kule SingidaKinana kakosa nini hadi akamatwe?
Acha uongo wewe, umeshakuwa mzee! Watu wakikungoja uwasalimie ndo kunakuwa na stage, viti, mapambo na mataa Kama hivi? Watu wa ccm lini mtajifunza kusema ukweli na kumuogopa mungu? Mtaondoka tu, kama sio leo ni kesho, lakini safari ya kuondoka imeshaanza
Mkikosa hoja mnakimbilia "ugaidi", "udini". Hamna zaidi.
Punguani wahed.
Mkikosa hoja mnakimbilia "ugaidi", "udini". Hamna zaidi.
Punguani wahed.
Chei Chei Bibie