Mwendesha mashtaka mkuu wa Icc.
Ametua jana Usiku Katika uwanja wa ndege wa MWALIMU NYERRE .Chini ya ulinzi mkali na hakuna mwandishi wa Habari aliyeruhusiwa kumhoji .juu ya ziara yake ya ghafla .lakini wachambuzi wa mambo ya siasa wanaihusisha na mauaji ya huko Arusha yanayosemekana kufanywa na jeshi la polisi mkoani humo .

nakuweka kwenye list ya watu wanaokula valuu asubuhi badala ya chai
c.r.a.pZiara hii ya ghafla ya Ocampo,imetokana na somo alilopata kenya na Guinea Bisau kwa kapteni Kamala. kwani dola inakuwa inaficha maiti ili kupoteza ushaidi na kudanganya juu ya watu waliouwawa na kupotea.ndio maana imemlazimu Ocampo kuwa wa kwanza kufika katika scene of crime ili kukusanya evidence katika kuhakikisha justice inatendeka katika genocide iliyofanywa na vijana wa Mwema.People power ..hakuna kurudi nyuma.
Mkuu... upupu kama huuu peleka jukwaa lenu lile la utaniMwendesha mashtaka mkuu wa Icc.
Ametua jana Usiku Katika uwanja wa ndege wa MWALIMU NYERRE .Chini ya ulinzi mkali na hakuna mwandishi wa Habari aliyeruhusiwa kumhoji .juu ya ziara yake ya ghafla .lakini wachambuzi wa mambo ya siasa wanaihusisha na mauaji ya huko Arusha yanayosemekana kufanywa na jeshi la polisi mkoani humo .
Hili halina chembe ya ukweli kama Ocampo kaja Dar ni kwa shughuli zake nyingine kamwe asingeweza kujua au kutabiri vurugu ambazo polisi wetu wamezianzisha hapo Arusha.......................