Ocampo get ready your job description is enlarged.

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
From heavsdrops,media n the individuals,I hereby call upon mr Ocampo to get airticket to Tanzania so as to collect more job deals of his business. What goes on in Arusha seem to employ you more! Added to politicians,we think police officers might fall in your task net. I can't believe not dreaming! Tanzania a land not to stay but come and go! This is a time Tanzania desires to have a colonialist than self evil rule! Ocamp get prepared. "If Africans are given weapons,next day they kill each other" by South africa white regime Prime Minister.
 
Where is Ocampooooo,
kuja hapa Arusha mara moja, 10 killed, they get order to shoot & kill innocent civilians
who demand their rights, umeme umepanda, Dowans wanalipwa taxpayers money illegally
Ocampooooo, come hapa, who ordered to shoot & kill peleka the hague, Ocampoo no dought waliiba kura hapa pia, sasa wameua unataka ushahidi ( exhibit) ipi tena
Ocampoooo, njooooo quick hapa Arusha, haraka, before it will be a RED WAR, wahi
maana watu wa Arusha hawata kubali as i know them they will revenge, ni wakali mno,
ukiuua masai, mwiraqw, mmeru, mwarusha, hata mmoja ni balaa, raia walikuwa hawana
silaha why shoot them?
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Icc.
Ametua jana Usiku Katika uwanja wa ndege wa MWALIMU NYERRE .Chini ya ulinzi mkali na hakuna mwandishi wa Habari aliyeruhusiwa kumhoji .juu ya ziara yake ya ghafla .lakini wachambuzi wa mambo ya siasa wanaihusisha na mauaji ya huko Arusha yanayosemekana kufanywa na jeshi la polisi mkoani humo .
 
guuuuuuuuuuud
thats i was dreaming abt
welcome ocampo n du the nidfull plz
wasije wakammislid tu jaman au wakampa vikwazo katika kufanya kaz zake
 
Hili halina chembe ya ukweli kama Ocampo kaja Dar ni kwa shughuli zake nyingine kamwe asingeweza kujua au kutabiri vurugu ambazo polisi wetu wamezianzisha hapo Arusha.......................
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Icc.
Ametua jana Usiku Katika uwanja wa ndege wa MWALIMU NYERRE .Chini ya ulinzi mkali na hakuna mwandishi wa Habari aliyeruhusiwa kumhoji .juu ya ziara yake ya ghafla .lakini wachambuzi wa mambo ya siasa wanaihusisha na mauaji ya huko Arusha yanayosemekana kufanywa na jeshi la polisi mkoani humo .

nakuweka kwenye list ya watu wanaokula valuu asubuhi badala ya chai
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Icc.
Ametua jana Usiku Katika uwanja wa ndege wa MWALIMU NYERRE .Chini ya ulinzi mkali na hakuna mwandishi wa Habari aliyeruhusiwa kumhoji .juu ya ziara yake ya ghafla .lakini wachambuzi wa mambo ya siasa wanaihusisha na mauaji ya huko Arusha yanayosemekana kufanywa na jeshi la polisi mkoani humo .

Mambo ya kizushi hayana nafasi ktk harakati za ukombozi. Thibitisha unachoandika hapa maana watu wengi ndani na nje ya nchi wanafuatilia masuala ya nchi kupitia jamvi hili.
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Icc.
Ametua jana Usiku Katika uwanja wa ndege wa MWALIMU NYERRE .Chini ya ulinzi mkali na hakuna mwandishi wa Habari aliyeruhusiwa kumhoji .juu ya ziara yake ya ghafla .lakini wachambuzi wa mambo ya siasa wanaihusisha na mauaji ya huko Arusha yanayosemekana kufanywa na jeshi la polisi mkoani humo .

Kama huna cha kuandika bora ukae kimya
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Icc.
Ametua jana Usiku Katika uwanja wa ndege wa MWALIMU NYERRE .Chini ya ulinzi mkali na hakuna mwandishi wa Habari aliyeruhusiwa kumhoji .juu ya ziara yake ya ghafla .lakini wachambuzi wa mambo ya siasa wanaihusisha na mauaji ya huko Arusha yanayosemekana kufanywa na jeshi la polisi mkoani humo .

Hivi unapata faida gani kusema Uongo?. Naona umeamuka na Kilevi
 
Duh!!!!!!!!!!!!!!! Muogopeni MUNGU. Hii thread ni kama vile leo ni tarehe Mosi April yaani siku ya wajinga. :A S 465:
 
Mkuu huu sio wakati wa utani,be serious watu wanapoteza maisha wewe unafanya utani?
 
Yes, Ocampo must come Arusha! Lazima damu hizi hazipotei bure, aliyetoa amri ya kuua na aliyewapa silaha za moto kukabiliana na wanawake, watoto na wazee kama akina Dr. Slaa wasio na hata fimbo .... wote lazima waende The Hegue
 
Ziara hii ya ghafla ya Ocampo,imetokana na somo alilopata kenya na Guinea Bisau kwa kapteni Kamala. kwani dola inakuwa inaficha maiti ili kupoteza ushaidi na kudanganya juu ya watu waliouwawa na kupotea.ndio maana imemlazimu Ocampo kuwa wa kwanza kufika katika scene of crime ili kukusanya evidence katika kuhakikisha justice inatendeka katika genocide iliyofanywa na vijana wa Mwema.People power ..hakuna kurudi nyuma.
 
c.r.a.p
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Icc.
Ametua jana Usiku Katika uwanja wa ndege wa MWALIMU NYERRE .Chini ya ulinzi mkali na hakuna mwandishi wa Habari aliyeruhusiwa kumhoji .juu ya ziara yake ya ghafla .lakini wachambuzi wa mambo ya siasa wanaihusisha na mauaji ya huko Arusha yanayosemekana kufanywa na jeshi la polisi mkoani humo .
Mkuu... upupu kama huuu peleka jukwaa lenu lile la utani

when people are serious na wewe unaleta utani wa kishoga inaboa sana
 
weee ndugu, plese, nimejizuiya lakn nimeshindwa, kk/dd acha uongo ndugu yangu haukusaidii, hakuna haja ya wana JF kuendelea kuchangia hapa
 
Hili halina chembe ya ukweli kama Ocampo kaja Dar ni kwa shughuli zake nyingine kamwe asingeweza kujua au kutabiri vurugu ambazo polisi wetu wamezianzisha hapo Arusha.......................

Ocampo ni mtu anayependa publicity sana. Is a friend of Journalists, hawezi kukubali akatua nchini na asikutane nao. Hii si tetesi bali uongo.
 
:rain:
Nilitaka nikuombee upigwe BAN lakini nimegundua kuwa ulikusudia kushusha hectic za wanajamii.

Ila usirudie tena maana unaweza kusababisha watu wengine kupigwa BAN kwa kukutusi
 
Jamani wakati kuna mada za kujadili zenye kuleta tija hebu tuache porojo. Ocampo aje kufanya nini Dar? Yule huwa anakwenda hatua za mwisho kabisa baada ya kuwa amepata data zote zinazohitajika! hata hivyo hakuna hata mkubwa mmoja aliyelaani umwagikaji damu Arusha zaidi ya sisi watu wa ndani kusema hili na lile! lakini nadhani hawajachelewa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom