Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #41
Sawa atasoma hapa,umeniona navyorusha kalio hapo [emoji23]Video ni nzuri kwa budget yake, hata wimbo naweza kuupa 7 kwa kubase kwenye budget.
Akaze buti, safari ndo kaianza, watu wana invest sana kwenye muziki sasa hivi.