Oc-mzazi - Nipe

Oc-mzazi - Nipe

Ni kijana kutoka Geita mwenye makazi yake yake Mwanza ni msanii underground anaefanya vyema ndio anachipukia hivyoo ,video yake mpya hii kajitahidi sana kuanzia nyimbo hadi video nimeweka kipande hapo ujionee pia nami nipo kwenye hiyo video nimevaa kaptura ya pink ole wenu mnichekee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuiangalia video nzima ingia hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Usisahau ku like na kushare pia
View attachment 878569View attachment 878571

Mziki wa Bongo kwa sasa uko mikononi mwa WCB...only that🤗
 
Uzee mbaya sana. Yani hapo sioni chochote kizuri. Wimbo umekaa kiKolomije tu.

Ngoja niendee kusikiliza MV Mapenzi wa DDC Mlimani Park, Sikinde ngoma ya Ukae.
 
Sawa babu pongeza wajukuu hata kishingo upande
 
Asante sana maana nilipomueleza ukweli demiss aliuzika sana! Wewe nikikueleza ukweli kuwa kwa muonekano wa umri wako hufai kufanya unavyotanya katika hiyo video utakasirika sana! Ila naamini si wewe ila unatuchota maana niliambiwa weye ni msomali wa kisukuma! Kwaheri
Kuniambia hivyo ni kutaka kunipangia maisha au,aliekuaambia akuambie vizurii zaidi kuna vitu kaacha [emoji23]
 
Ni kijana kutoka Geita mwenye makazi yake yake Mwanza ni msanii underground anaefanya vyema ndio anachipukia hivyoo ,video yake mpya hii kajitahidi sana kuanzia nyimbo hadi video nimeweka kipande hapo ujionee pia nami nipo kwenye hiyo video nimevaa kaptura ya pink ole wenu mnichekee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuiangalia video nzima ingia hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Usisahau ku like na kushare pia
View attachment 878569View attachment 878571

Video ni nzuri kwa budget yake, hata wimbo naweza kuupa 7 kwa kubase kwenye budget.

Akaze buti, safari ndo kaianza, watu wana invest sana kwenye muziki sasa hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom