Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 14,952
- 34,963
Wakuu,
Hio ni Kauli ya Rais mstaafu wa Marekani Bwana Barack Obama akingumzia Demokasia mwaka 2018 alipokuwa Afrika kUsini.
Imesambaa tena hasa baada ya taarifa za uchaguzi Ushindi wa kimaajabu wa Rais Samia kuenea duniani.
"We have to stop pretending that countries that just hold an election where sometimes the winner somehow magically gets 90% of all the vote because all the opposition is locked up or can't get on TV is a democracy".
Aidha alifafanua kwamba demokrasia inategemea taasisi imara,haki za wachache,kujitegemea mihimili,Uhuru wa kuongea,Uhuru wa kutoa maoni,Uhuru wa vyombo vya habari,haki ya kuandamana na kuiwajibisha serikali na Uhuru wa mahakama na kila mmoja kutii sheria.
" Democracy depends on strong institutions and its about minority rights and checks and balances and freedom of speech and freedom of expression and a free press and a right to protest and petition the government and an independent Judiciary and everybody having to follow the law"
Ukiangalia hio video hapo Rais Ramaphosa wa SA anacheka sana hasa Obama alipozungumzia kupata ushindi wa asilimia 90 maana kilichofanyika Tanzania ni vichekesho sana.
Ukichunguza hizo element za demokrasia alizotaja hapo ni kama hakuna hakuna tunafanya maigizi tu.
Tanzania ndivyo inavyoonekana huko duniani kwa sasa.