Obama: Republican wamfukuze Trump

Obama: Republican wamfukuze Trump

Atashinda tu,
Ukiwa mweusi, ukaitwa mweusi hujabaguliwa, utakuwa umebaguliwa ikiwa utanyimwa haki zako za kimsingi kwa sababu ya unavyoonekana.

Hilary clinton ndio hafai kabisa. Alisababisha mumewe kuinajisi white house.
Pamoja na kujua uchafu ule wa mumewe hakuchukua hatua zozote za kujitenga nao (iwe kwa kudai talaka au kumshitaki "pashkuna mramba koni") kwa maneno nyoofu ni kuwa ali engineers zile blow Jo..

Hakuna mwanamke amemshtaki Trump kanakwamba amemdhalilisha, matamshi yake faraghani yanabaki kuwa ya faraghani..

Business inatawala dunia, tunataka businessman aongoze taifa hili kubwa.

Mlikuwa na kiu (wafrika) mwafrika aongoze taifa kubwa mkitarajia makubwa, kwa mshangao wenu mpaka anamaliza uongozi wake hakuna nafuu wala upendeleo wowote mliopata toka kwake zaidi sana mmezidi kuwa weusiiiii tii (rangi yenu mnayoichukia kupita maelezo)

UJANJA UJANJA WA KINA CLINTON HAUNA NAFASI.

Trump akiingia madarakani kwanza kwa Mtu mweusi atabaguliwa sanaa....simaanishi mtu mweusi mwenye colour nyeusi bali naamaanisha mtu mweusi kitaifa (Mwarabu, Mtz, mkenya etc.)
 
Barack Obama Rais wa marekani kupitia chama cha Democratic amesema Jana kuwa Trump ni mbaguzi wa hali ya juu na hawezi kuwa Rais wa taifa kubwa kama marekani .

Amesema video iliyovuja na kuonyesha akiwazalilisha wanawake imemfanya asiweze kuaminika tena hata na watu wachache waliokuwa bado wanaimani naye..

Amesema pia wakati ni sasa ambapo amekuwa akiona wanachama mmoja mmoja wa Republican wakijitokeza kumpinga sasa ni wakati wa kumutimua na kutafuta mgombea anayefaa.....

""It the right time for all Republican representative to say enough is enough for you're Racist tell him the Truth find another representative"

Obama amesikitishwa sana na kampeni za ubaguzi kutoka kwa Bilionea huyo na kuwaonya kuwa hakuna wamarekani wenye akili timamu watamaomchagua mtu aina ya Trump.

Chanzo : BBC

Trump ndo raisi wa America

Upende usipende

Tatizo la watu weusi wanapenda kuambiwa Yale wanayotaka kuyasikia tuu
 
Unielewe ninaposema "UKIITWA MWAFRIKA HUJABAGULIWA!!, UKIKATAZWA KUINGIA ULAYA KWA SABABU WEWE SII RAIA WA ULAYA BALI NI MWAFRKA HUJABAGULIWA!! WEWE MWAFRKA USIPOPEWA MISAADA NA MAREKANI YA KIUCHUMI KUENDELEZA NCHI YAKO HUJABAGULIWA!!!!

Isipokua kama utanyimwa kitu stahiki yako kwa sababu ya rangi ya ngozi yako, eneo utokalo n.k ndio utakua umebaguliwa.

Hamjajifunza somo hili kwa Obama aka" Baba kayayiii"

Trump akiingia madarakani kwanza kwa Mtu mweusi atabaguliwa sanaa....simaanishi mtu mweusi mwenye colour nyeusi bali naamaanisha mtu mweusi kitaifa (Mwarabu, Mtz, mkenya etc.)
 
Clinton na obama wameihari sana dunia na wamarekani wakimchagua clinton inamaana wamarekani watakuwa wamekubali kuendeleza uharibifu wa dunia.
 
Atashinda tu,
Ukiwa mweusi, ukaitwa mweusi hujabaguliwa, utakuwa umebaguliwa ikiwa utanyimwa haki zako za kimsingi kwa sababu ya unavyoonekana.

Hilary clinton ndio hafai kabisa. Alisababisha mumewe kuinajisi white house.
Pamoja na kujua uchafu ule wa mumewe hakuchukua hatua zozote za kujitenga nao (iwe kwa kudai talaka au kumshitaki "pashkuna mramba koni") kwa maneno nyoofu ni kuwa ali engineers zile blow Jo..

Hakuna mwanamke amemshtaki Trump kanakwamba amemdhalilisha, matamshi yake faraghani yanabaki kuwa ya faraghani..

Business inatawala dunia, tunataka businessman aongoze taifa hili kubwa.

Mlikuwa na kiu (wafrika) mwafrika aongoze taifa kubwa mkitarajia makubwa, kwa mshangao wenu mpaka anamaliza uongozi wake hakuna nafuu wala upendeleo wowote mliopata toka kwake zaidi sana mmezidi kuwa weusiiiii tii (rangi yenu mnayoichukia kupita maelezo)

UJANJA UJANJA WA KINA CLINTON HAUNA NAFASI.

Well said mkuu, familia hiyo ujanja ujanja umezidi sana - wanadhalau watu masikini na watu weusi kama nini sijui - we sema wana mbinu za kuficha ukweli huo wakiwa adhalani, niliwahi kuona siku moja msichana mmoja African American ikimjia juu Hillary kwamba ni mbaguzi wa rangi sana anatumia code fulani kuwadhailisha watu weusi, wakati huo Hillary alikuwa Hotelini na kundi la wapambe wako - msichana huyo alitoa incidents Hillary aliwahi kutumia maneno hayo anapo hutubia watu matajili ni inner circle yake - wapambe wake walishikwa na aibu wakambembeleza msichana huyo umezee, wakamsihi sana mmoja wao akamshika mkono na kuondoka naye nje ya Hoteli!!! Niliwahi kosoma article fulani inasema na mumewe utumia codes hizo anapokuwa sehemu ambayo anajua awezi kuwa qouted - wanasema familia ya Clinton hawampendi Obama, na Obama hilo analijua sana ndio maana ilimchukuwa muda kabla ya kuanza kumpigia kampein Hillary.

Linapo kuja saula la Obama kumsema vibaya Trump, mi nafikiri Obama bado ana kisasi na Trump kutokana na Trump kushinikiza Obama alete cheti chake cha kuzaliwa wakati Obama alipo taka kuteuliwa kwenye kinyanganyilo cha kugombea Urais, inaelekea suala hilo lilimdhalilisha sana Obama sasa ndiyo maana anamsema sema vibaya Trump - analipiza kisasi.

Obama anacho sahau ni kwamba mtu aliye mshauri Trump ag'ang'anie Obama kutoa cheti chake cha kuzaliwa ni Hillary mwenyewe akishirikiana na Trump lakini hakutaka ajulikane - Hillary alitaka kutumia mbinu hiyo ili Obama aenguliwe kwenye kinyanganyilo cha kuteuliwa na chama chake kugombea Urais, Hillary alitaka abaki peke yake kwenye kinyanganyilocha kuteuliwa na chama chake - mbinu hizo zilikwama Hillary akaenguliwa, juzi juzi hapa Trump alimkubusha Hillary kuhusu deal yao ya kutaka kumuondoa Obama kwa kutumia mbinu ya kudai cheti cha kuzaliwa - Hillary hajawahi kulizungumzia hilo yuko kimya kabisa, hivi sasa Hillary anatumia ujanja wa kuilahumu Urusi na Putin akiona kuna uwezekano wa baadhi ya madudu yake kuanikwa adhalani, Amerika kuna sheria inayo sema mtu yeyote akigundulika ameharibu ushahidi kimaksudi anapashwa kushtakiwa na kufungwa - sasa Hillary kafuta kumbukumbu zote za E-Mail kutoka kwenye Mail Server,FBI wanajua kosa hilo la kijinai lakini wamekaa kimya!! Kinacho nishanga zaidi raia wengi wanakubaliana na utapeli/Uongo/ulaghai Hillary - Wamerika watu wa ajabu sana.
 
Barack Obama Rais wa marekani kupitia chama cha Democratic amesema Jana kuwa Trump ni mbaguzi wa hali ya juu na hawezi kuwa Rais wa taifa kubwa kama marekani .

Amesema video iliyovuja na kuonyesha akiwazalilisha wanawake imemfanya asiweze kuaminika tena hata na watu wachache waliokuwa bado wanaimani naye..

Amesema pia wakati ni sasa ambapo amekuwa akiona wanachama mmoja mmoja wa Republican wakijitokeza kumpinga sasa ni wakati wa kumutimua na kutafuta mgombea anayefaa.....

""It the right time for all Republican representative to say enough is enough for you're Racist tell him the Truth find another representative"

Obama amesikitishwa sana na kampeni za ubaguzi kutoka kwa Bilionea huyo na kuwaonya kuwa hakuna wamarekani wenye akili timamu watamaomchagua mtu aina ya Trump.

Chanzo : BBC
Watanzania bana, kweli sisi ni miongoni mwa watu weusi kutoka bara la giza. Hivi tulipoambiwa afrika ni bara la giza haukua ubaguzi ee?
 
Ukweli ni mchungu kama ladha ya gongo wamarekani wanauchukia ukweli anaousema trump.
 
Kinachoshangaza ni kuwa endapo Trump ni mgombea asiyefaa Democrats wana wasiwasi gani si wakae kimya tuu waende nae kwenye uchaguzi wamshinde kwa urahisi??? Wana was was anawapiga bao mchana!!
 
Jamaa alisema atatutawala km walivyofanya wakoloni! hatari sana.....asipewe hata udiwani km upo,hafai
Bado mnatakiwa kutawaliwa kwa hizi tabia za ajabu mlizo nazo mfano wafanyakazi hewa vyeti feki mnamsumbua sana Rais!
 
Mi nilipenda Trump achukue nchi bt ndo hvy tena hawez kua rais wa marekan lzm marekan km baba wa dunia aweke historia ya kua na rais wa kwanza wa kike ili ile dhana ya kuwainua wanawake isibaki ktk dhana dhahania tu bali bali iwe tendo kitendoni

Kweli upo nyuma ya mda ,ndo nini sasa hiyo Na ni wazi kabisa umeandika kwenye platform Kama hii au umevamia
 
Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe,, sasa jamaa kama hafai mbona democratic wanahangaika adi kuwambia republican wamubadilishe baadala yakutumia weakness zake iliwashinde kiurahisi.
 
Kinachoshangaza ni kuwa endapo Trump ni mgombea asiyefaa Democrats wana wasiwasi gani si wakae kimya tuu waende nae kwenye uchaguzi wamshinde kwa urahisi??? Wana was was anawapiga bao mchana!!
Hahaha uncle trump sio wa masihara wakimuacha anaweza tinga ikulu ivi ivi
 
Hivi kwanii BBC wamekuw mstari wa mbele katika kumkosoa trump?
80% of the media don't want trump to be the president of the USA hata vyombo vya ujerumani uingereza pia havimtaki trump maana Sera zake zinawaathiri hadi wao, trump anapendwa na russia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Clinton ndio aliyefanya ya ajabu white house alipaswa aongelewe yeye kwanza, Trump despite his weaknesses hakuna mwanamke aliye mshitaki.
 
Naunga mkono hoja

Waafrika hampendi na wala hamsemi ukweli. Trump anasema ukweli bila kificho. Waafrika ni mbuzi mbuzi, hatutaki kuambiwa hivyo wakati waafrika ni mbuzi! Inabidi tutawaliwe for 100 yrs to come kama mbuzi, lazima mbuzi umfunge kamba bila hivyo atakula mazao ya watu.
Mfano, Jaji wa vyama vya siasa ana tofauti gani na mbuzi
 
Naamini ulichokiandika unakifahamu vizuri.
Nifafanulie "ngamia" ndio nini kwenye andiko lako.
Ngamia mnyama au ni kudu!!
Wengi wamekariri na kudhani kuwa anayezungumziwa ni ngamia myama, hawajui kuwa ngamia inayozungumziwa kwenyw bible ni kitu tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom