Obama: Republican wamfukuze Trump

Obama: Republican wamfukuze Trump

Waafrika hampendi na wala hamsemi ukweli. Trump anasema ukweli bila kificho. Waafrika ni mbuzi mbuzi, hatutaki kuambiwa hivyo wakati waafrika ni mbuzi! Inabidi tutawaliwe for 100 yrs to come kama mbuzi, lazima mbuzi umfunge kamba bila hivyo atakula mazao ya watu.
Mfano, Jaji wa vyama vya siasa ana tofauti gani na mbuzi
Sababu ulizotoa siyo pre qualification ya irais wa marekani
 
Ni bora ya Trump anayewapa makavu hadharani kuliko kwa wanafiki wanaojiona wema kumbe rohoni wachafu zaidi ya shetani...

Trump ndio dawa ya wanafiki...
Nakumbuka wakati wa kampeni, George Bush junior aliweka wazi kuwa hatakua na muda na nchi za Afrika, hivyo zisitarajie kitu kwenye utawala wake, lakini alipoingia madarakani akazisaidia kwa misaada mingi sana katika historian ya Marekani kuisaidia Afrika.
Akaja Obama, yule jamaa wanaye mlazimisha kuwa ni mweusi wakati si kweli. Jamaa kampeni zake zilikua kila baada ya paragraph Moja lazima ataje 'Afrika' na 'black' hats naada ya kushinda akaja kushukuru huku Afrika (sijui walimpigia kura?) Lakini katika utawala wake, mashoga ndiyo wamepewa kipaombele....sijui uhusiano wake na Afrika upoje, wenye kumbukumbu watatusaidia.

Trump is far better than that witch..
 
80% of the media don't want trump to be the president of the USA hata vyombo vya ujerumani uingereza pia havimtaki trump maana Sera zake zinawaathiri hadi wao, trump anapendwa na russia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aaaaah!!? Nimekupata mkuu! Maana kuna siku nilishangaa kukuta media moja ya nje ikimponda Trump kwa kumuita Bwenyenye! But nahc hali yaweza kuwa ngumu kwake au akachakachuliwa kama aligo!
 
Aaaaah!!? Nimekupata mkuu! Maana kuna siku nilishangaa kukuta media moja ya nje ikimponda Trump kwa kumuita Bwenyenye! But nahc hali yaweza kuwa ngumu kwake au akachakachuliwa kama aligo!

tangu lin bwenyenye likawa tusi. bwenyenye lina maana ya mtu mwenye fedha na anamilik assets mbalimbali kama ardhi, nyumba .n.k
 
tangu lin bwenyenye likawa tusi. bwenyenye lina maana ya mtu mwenye fedha na anamilik assets mbalimbali kama ardhi, nyumba .n.k
Duuuuuh!!! Mimi nilidhani ni tusi! Mkuu,maana huku kwe2 m2 ukimwita hivyo lazm pachimbike! but asante kwa kunitoa tongo*2 si unajua wengine 2likimbia arts shuleni!
Lakini ki,uhalisia trump anapondwa sana+kutukanwa na media nyingi!
 
Back
Top Bottom