Obama: Republican wamfukuze Trump

Obama: Republican wamfukuze Trump

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,647
Reaction score
58,453
Barack Obama Rais wa marekani kupitia chama cha Democratic amesema Jana kuwa Trump ni mbaguzi wa hali ya juu na hawezi kuwa Rais wa taifa kubwa kama marekani .

Amesema video iliyovuja na kuonyesha akiwazalilisha wanawake imemfanya asiweze kuaminika tena hata na watu wachache waliokuwa bado wanaimani naye..

Amesema pia wakati ni sasa ambapo amekuwa akiona wanachama mmoja mmoja wa Republican wakijitokeza kumpinga sasa ni wakati wa kumutimua na kutafuta mgombea anayefaa.....

""It the right time for all Republican representative to say enough is enough for you're Racist tell him the Truth find another representative"

Obama amesikitishwa sana na kampeni za ubaguzi kutoka kwa Bilionea huyo na kuwaonya kuwa hakuna wamarekani wenye akili timamu watamaomchagua mtu aina ya Trump.

Chanzo : BBC
 
Naunga mkono hoja
 
Amewagusa penyewe thou anaweza asishinde but trump is a true color of Americans,
Atashinda tu,
Ukiwa mweusi, ukaitwa mweusi hujabaguliwa, utakuwa umebaguliwa ikiwa utanyimwa haki zako za kimsingi kwa sababu ya unavyoonekana.

Hilary clinton ndio hafai kabisa. Alisababisha mumewe kuinajisi white house.
Pamoja na kujua uchafu ule wa mumewe hakuchukua hatua zozote za kujitenga nao (iwe kwa kudai talaka au kumshitaki "pashkuna mramba koni") kwa maneno nyoofu ni kuwa ali engineers zile blow Jo..

Hakuna mwanamke amemshtaki Trump kanakwamba amemdhalilisha, matamshi yake faraghani yanabaki kuwa ya faraghani..

Business inatawala dunia, tunataka businessman aongoze taifa hili kubwa.

Mlikuwa na kiu (wafrika) mwafrika aongoze taifa kubwa mkitarajia makubwa, kwa mshangao wenu mpaka anamaliza uongozi wake hakuna nafuu wala upendeleo wowote mliopata toka kwake zaidi sana mmezidi kuwa weusiiiii tii (rangi yenu mnayoichukia kupita maelezo)

UJANJA UJANJA WA KINA CLINTON HAUNA NAFASI.
 
Barack Obama Rais wa marekani kupitia chama cha Democratic amesema Jana kuwa Trump ni mbaguzi wa hali ya juu na hawezi kuwa Rais wa taifa kubwa kama marekani .

Amesema video iliyovuja na kuonyesha akiwazalilisha wanawake imemfanya asiweze kuaminika tena hata na watu wachache waliokuwa bado wanaimani naye..

Amesema pia wakati ni sasa ambapo amekuwa akiona wanachama mmoja mmoja wa Republican wakijitokeza kumpinga sasa ni wakati wa kumutimua na kutafuta mgombea anayefaa.....

""It the right time for all Republican representative to say enough is enough for you're Racist tell him the Truth find another representative"

Obama amesikitishwa sana na kampeni za ubaguzi kutoka kwa Bilionea huyo na kuwaonya kuwa hakuna wamarekani wenye akili timamu watamaomchagua mtu aina ya Trump.

Chanzo : BBC
Amembagua nani lini na wapi.
Au ndio magaidi wa mapango ya amboni ya Texas?!
 
Atashinda tu,
Ukiwa mweusi, ukaitwa mweusi hujabaguliwa, utakuwa umebaguliwa ikiwa utanyimwa haki zako za kimsingi kwa sababu ya unavyoonekana.

Hilary clinton ndio hafai kabisa. Alisababisha mumewe kuinajisi white house.
Pamoja na kujua uchafu ule wa mumewe hakuchukua hatua zozote za kujitenga nao (iwe kwa kudai talaka au kumshitaki "pashkuna mramba koni") kwa maneno nyoofu ni kuwa ali engineers zile blow Jo..

Hakuna mwanamke amemshtaki Trump kanakwamba amemdhalilisha, matamshi yake faraghani yanabaki kuwa ya faraghani..

Business inatawala dunia, tunataka businessman aongoze taifa hili kubwa.

Mlikuwa na kiu (wafrika) mwafrika aongoze taifa kubwa mkitarajia makubwa, kwa mshangao wenu mpaka anamaliza uongozi wake hakuna nafuu wala upendeleo wowote mliopata toka kwake zaidi sana mmezidi kuwa weusiiiii tii (rangi yenu mnayoichukia kupita maelezo)

UJANJA UJANJA WA KINA CLINTON HAUNA NAFASI.
Trump kuwa Rais wa marekani ni vigumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
trump nibora atanguliwe kubaguliwa yeye kwanza na afukuzwe
 
Jamaa alisema atatutawala km walivyofanya wakoloni! hatari sana.....asipewe hata udiwani km upo,hafai
 
Mi nilipenda Trump achukue nchi bt ndo hvy tena hawez kua rais wa marekan lzm marekan km baba wa dunia aweke historia ya kua na rais wa kwanza wa kike ili ile dhana ya kuwainua wanawake isibaki ktk dhana dhahania tu bali bali iwe tendo kitendoni
 
Back
Top Bottom