Obama plans 1st International trip....Burma here he comes!

Obama plans 1st International trip....Burma here he comes!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267
JK itabidi asubiri kidogo:

President Barack Obama to visit Burma

r-OBAMA-MYANMAR-VISIT-large570.jpg

Fresh from his election win, Barack Obama will become the first US president to visit Burma this month, the White House says.

He will meet opposition leader Aung San Suu Kyi and President Thein Sein.

It is part of a three-leg tour from 17 to 20 November that will also take in Thailand and Cambodia.

The government of Burma has begun implementing economic, political and other reforms, a process the Obama administration sought to encourage.
More on This Story

BBC News - President Barack Obama to visit Burma
 
Baada ya kushinda uchaguzi hapo juzi rais Barack Obama wa Marekani ataanza ziara zake za nje ya nchi kwa kutembelea Burma ambako katika masiku ya karibuni ulimwengu wa kiislamu umekuwa ukipiga kelele kutokana na mauwaji makubwa ya waislamu yanayofanywa na mabuda.
Katika hali ya kawaida Marekani huwa inafanya nongwa kubwa pale nchi inaphusika na mauwaji ya watu wasio na hatia hata wakiwa wachache.Nchini Burma maelfu ya waislamu wameuliwa na miji mizima mizima kuchomwa moto.Hili halijamshughulisha Obama au kumzuia kufanya ziara nchini humo.
 
Baraka Hussein Obama.
Jee ametoa masharti gani kwa rais Thein kabla ya kutembelea au Burma imewekewa vikwazo vyovyote vile kama vile Syria na Iran au kwa vile waliouliwa ni waislamu hakuna tatizo kwake.
 
aah obama nguvu ya soda, kashindwa kuwatuliza syria ndio ataweza burma wakimsikia anakuja watasitisha mauaji ataenda ataongea bla bla nyingi baada ya hapo akindoka watu wanarudi machinjioni
 
aah obama nguvu ya soda, kashindwa kuwatuliza syria ndio ataweza burma wakimsikia anakuja watasitisha mauaji ataenda ataongea bla bla nyingi baada ya hapo akindoka watu wanarudi machinjioni
Hata hizo bla bla nazo huenda asizingumze.Akazungumza mambo tofauti.Kama ana nia nzuri asingechagua kabisa kwenda huko wakati kuna uvunjifu mkubwa wa amani na serikali ya Burma haijaonesha nia ya kushughulika nayo.
 
sasa apo makosa yapo wap,kwa serikali ya burma iliyoshindwa kutuliza au rais wa marekan,tusiwalalamikie marekan kwa mambo ambayo hawana makosa,obama kwenda uko ni vizuri sababu kutembea tu kunatia moyo
 
Kutembelea kutamtia moyo nani,si kutaitia ari serikali izidi kuwauwa waislamu bila kukemewa.
Unajua Syria nayo imewekewa vikwazo kibao na Marekani kisa eti inauwa raia wasio na hatia.Libya nayo ilikuwaje?.
Saddam Hussein alihukumiwa kunyongwa na kila aliyepatikana katika serikali yake kwa kosa la kufa watu mwaka 1986.Lakini Burma wameuliwa wengi kuliko kote huko tena juzi kabisa.Nini kinaifanya Marekani ione fakhari kwenda kutembelea nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom