Obama na Michelle: Taswira

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,208
2,000
obama1.jpg
Barack-Obama-na-Yingluck-Shinawatra7-638x400.jpg

Ukiwa na mwanamme aliye mkuu wa kitengo au rais kama Obama usiwe na wivu sana. Utakonda hadi uombe talaka. Hapo ushauri wangu kwa wamama...komaeni mle matunda ya waume zenu hata kama kuna taswira ya kama ''naibiwa vile''
 
kamusi

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
1,079
1,250
View attachment 129846
View attachment 129847

Ukiwa na mwanamme aliye mkuu wa kitengo au rais kama Obama usiwe na wivu sana. Utakonda hadi uombe talaka. Hapo ushauri wangu kwa wamama...komaeni mle matunda ya waume zenu hata kama kuna taswira ya kama ''naibiwa vile''

sawa tumekusikia, manake hapo tujifanye wajinga sio,ok..lkn akiiba nawe unaiba kwani kuna shida?..dawa ndio hiyo hiyo unapiga kimya kula raha za umaarufu huku na ww unakuwa na kidumu pembeni...baaaaaaas maisha yanaendelea na inakuwa stress freee zone
 
Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,208
2,000
sawa tumekusikia, manake hapo tujifanye wajinga sio,ok..lkn akiiba nawe unaiba kwani kuna shida?..dawa ndio hiyo hiyo unapiga kimya kula raha za umaarufu huku na ww unakuwa na kidumu pembeni...baaaaaaas maisha yanaendelea na inakuwa stress freee zone

Shhiiiiii wakikusikia...nasikia hata JFK alikuwa rais bora ila alipenda mademu balaa hadi mkewe akawa analindwa asije akamkuta prezda na kimwana ofisini. Ila ukiiba wewe madume yanalinda tena ataambiwa kabla hujatoka anakuja kukufumania ili apate mwanya wa kutoka ki halali
 
Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,797

Hakuna kidume cha kuchezea mke wa raisi, pamoja na kwamba haya mambo yanongozwa na tamaa lakini likija kwa mke wa raisi akili inafanya kazi kuliko tamaa. Kitu kingine ni kwamba mke wa raisi anakua na ulinzi mkali na unaripoti kwa raisi, ukifanya michezo kama huo unaweza kukumbwa na mauti kimya kimya.
 
khaaaaa hiyo sasa itakuwa kinyume cha haki za binadamu, yaani yeye akiiba analindwa ili nisimkute halafu mimi wananilinda nissibe!!!!!!!!!! basi taiba na huyo anayenilinda ili nisiibe mana ndo mtu tayekuwa naye kila mahala
 
Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,208
2,000
Hakuna kidume cha kuchezea mke wa raisi, pamoja na kwamba haya mambo yanongozwa na tamaa lakini likija kwa mke wa raisi akili inafanya kazi kuliko tamaa. Kitu kingine ni kwamba mke wa raisi anakua na ulinzi mkali na unaripoti kwa raisi, ukifanya michezo kama huo unaweza kukumbwa na mauti kimya kimya.

Kama siyo mauti huenda ukafia jela kwa kesi ya kuchonga
 
kamusi

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
1,079
1,250
Not healthy, ataumia bure

ni kweli aise huyu mama atakufa kwa wivu yaani ameshindwa kabisa kujizuia hata uwanjani kdg sasa hapo wakiwa wawili nafikiri moto wake ni balaa..

inavoonyesha huyo obama ni mchangamfu sana na mcheshi na anazoeana na mtu haraka sasa ukiwa na mume wa hivi halafu tena ni president inabidi uwe tu mpole mana utakufa na mawazo...

ajifunze kuvumilia tu ilimradi anajulikana yeye ndo wa public hao wengine hata kama wapo ni private...aangalie wake wa zuma ndio ajifunze je angekuwa kama hao si aneshakata roho? mana zuma ye anatangaza in public kabisa ana first ladies 4
 
ProjectPombe

Member
Aug 29, 2013
49
0
naskia wanalala mzungu wa nne! ndoa n zaidi ya urais. kumbe unaweza kuwa kiongoz bora wa taifa ila ukawa kiongoz dhaifu wa familia!

Ls Man,

Ni kweli ulivosema. Hata Hayati Madiba aliwahi kujutia kutokuwa "mume na baba wa mfano" kwa familia yake. His circumstances notwithstanding!

PP
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,316
0
sawa tumekusikia, manake hapo tujifanye wajinga sio,ok..lkn akiiba nawe unaiba kwani kuna shida?..dawa ndio hiyo hiyo unapiga kimya kula raha za umaarufu huku na ww unakuwa na kidumu pembeni...baaaaaaas maisha yanaendelea na inakuwa stress freee zone

haya ni maneno ya mwanamke m.alay.a mbwa asiyejiheshimu.
 
babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
8,567
2,000
Usikute hampi unyumba inavyotakiwa.jamaa akitamani nje majanga,mwanamke huyu anaonekana anapenda urais wa obama si obama rais
 
morphine

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
3,420
2,000
mbona hata kaka mkuu nasikia yanamkutaga haya sema kimya kimyaaa shhhhh...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom