Obama na Goldon Brown hawakupata mwaliko royal wedding

Apr 2, 2011
42
18
Imekuaje hapa jamani maana aliyekuwa akimuuzia chocolate prince enzi za udogo wake amepata mwaliko vp kwa hawa wakubwa?
 
kitu kimoja muhimu kujua ni kwamba ile harusi ni ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza. Ni ya kitamaduni zaidi, na inawahusu Waingereza zaidi. Zaidi ni promotion ya Utalii.
 
Back
Top Bottom