Obama: Mwambieni Magufuli nataka eneo Moshi nijenge vacation home

kwanini mnadhani kanda ya kaskazini ni special Sana?

mnadhani mnaweza fanya nini mkiachwa peke yen?

kwanini mnajishitukia?

si ajabu karibu kila nyumba ya mchaga kuna Licha,

msitudanganye kwamba nyinyi kwa nyinyi mnapendana,

Tunawajua bhana,

Rudisheni akili nyuma bhana, sote tu [HASHTAG]#WATANZANIA[/HASHTAG].
we endelea na nyumba ntobu yako hapo kemakorere,kaskazn iliendelea zamani mno mkuu
nenda kule uchagani nyumba ya kulala kuku INA tyles
 
Moshi na Arusha ni Ulaya ya Tanzania..


Arusha wazungu wamejaa kila kona....ma-estate ya kufa mtu wanamiliki....Dolly Estate, Momela Ranch Estate, Mawala Estate, Gomba Estate, Peponi Estate, Arusha West Lands Estates
Acha kufananisha ulaya na ujinga wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom