Obama: Mwambieni Magufuli nataka eneo Moshi nijenge vacation home

kwanini mnadhani kanda ya kaskazini ni special Sana?

mnadhani mnaweza fanya nini mkiachwa peke yen?

kwanini mnajishitukia?

si ajabu karibu kila nyumba ya mchaga kuna Licha,

msitudanganye kwamba nyinyi kwa nyinyi mnapendana,

Tunawajua bhana,

Rudisheni akili nyuma bhana, sote tu [HASHTAG]#WATANZANIA[/HASHTAG].
 
Wana akili za kitoto ao wala sio Wa kuwajibu ili wafurahi wanyamaze, Eti MTU anashabikia sijui kaskazini kitu ambacho hakiina hata maana.
 
Gomba estate siku hizi ni makazi ya watu, ilishapimwa na kugawanywa kuwa makazi ya watu mkuu
Yap....Manyire kule karibu anakoishi mama yake Nyalandu...kumetulia sana ukizingatia Barabara ya Esta Africa inakatiza katikati ya Estate
 
Hata mm, Mkapa, Mwinyi, kikwete nao kwakuwa wanapenda sana nje...twende tukaombe kwa TRUMP ardhi ili tukajenge nyumba za mapumziko huko siku tunapotembelea mitaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom