Obama hana shukrani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama hana shukrani?

Discussion in 'International Forum' started by BIN BOR, Jan 8, 2011.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Hakuna shaka Obama (kulia) ni mjaluo wa Kisumu na alikwenda kijijini Kogelo kutangaza nia ya kugombea urais na kupata baraka zote za wazee. Na alipopata urais watu wa kijijini kwake walifanya bonge la pati kwa kuchinja ng'ombe 4. Sasa mbona harudi kusema asante? Au anasubiri uchaguzi ukaribie?

  Jinsi jamii yake ilivyosherehekea Kenyan village awaits Obama's historic inauguration_English_Xinhua
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nothing is new about this in politics!
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hana muda wa vacation kila siku kama viongozi wetu,huo muziki wa Republican tangia wawe majority unatosha kabisa kumfanya asitembee!kama walichinja ng'ombe wakijua wameukata,imekula kwao. labda baada ya kumaliza kipindi chake kimoja.Watafute maisha yao si kutegemea asante kutoka kwa mwanaume mwenzao awaletee maendeleo,walimsomesha wao,walimsaidia kwenye kupata iyo nafasi awape priority kubwa hivyo???..........useless!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  acha uswahili, kwako wewe kuonesha ana shukrani ni lazima aache kazi za kutawala dunia aje ashikane nao mikono?!.
   
 5. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,741
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Wewe unajua protocal inavyofanya kazi au unaongea tu. Unafikiri huyu ni sawa na rais wako huyu ni rais wa dunia acha njozi zako. Kwani Kenya ndio waliopiga kura si wamerakani ndio waliopiga kura. kama walichinja ng'ombe si walikuwa wanafurahia mtu wao kuongoza dunia sasa ulitaka arudi awarudishie zile ng'ombe zao. Obama ni rais wa Marekani na si Kenya elewa hilo.
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  its a matter of time, he will go to kogelo village. he still have problems in his administration to sort out first
   
 7. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  At least boma umenisaidia maana hapa JF jamaa walishaanza kunishambulia ati ooo arudi kufanya nini, mara ati ana ratiba ngumu....mbona wachaga kila mwaka wanasahau ratiba ngumu na wanakwenda kwao kuhesabiwa? Obama alipata hadi dua za wazee kule Wajir, akavalishwa mishuka akafanana kama msomali ndio maana akaukwaa urais....ni lazima aje aseme wazee taire.....
   
 8. Mwelewa

  Mwelewa JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 2,316
  Likes Received: 2,533
  Trophy Points: 280
  Acha uswahili ambao hauna msingi wewe, yani na akili yako unadhani obama anaamini hayo mambo yenu ya matambiko hata kama alikubali kuvalishwa hiyo minguo unayosema ni kwa ajili ya kuwaridhisha tu si kingine, dunia ya kisayansi hii unaleta habari za matambiko? Yeye ni raisi wa wamarekani na ni mmarekani na amechaguliwa na wamarekani hivyo anapaswa kuwashukuru wamarekani wenzake sio wakenya ambao hawakuwepo kwenye zoezi la kupiga kura, eti aende akaseme tawire,,, just tell us what does this (tawire) trenslate to his victory? And we know is, obama is after americans and no one can change this truth believe or not, at the time he assumed on the office he said that he is there to save americans for their progress,,, full stop!
   
 9. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Badala yake haishi kuwaandama watu wa kwao,mara viongozi wake wasisafiri,mara wanahusika na madawa ya kulevya!.
  Kule Scotland alikotoka babu wa babu yake upande wa mama kumekuwa bora na kujifakharisha nako lakini alikotoka baba yake anakupiga vita.
   
 10. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Unadhani yeye ni Muuza sura? unajua hiyo gharama ya yeye kwenda Kenya kutambika na kushika mikono hao wa ganga wa kienyeji itakua kiasi gani , nani ailipie , unajua ulinzi wake utakavyo cost ? unadhani ni kama nchi yako rais ana weza amua tuu leo nakwenda sehemu na fungu likatoka lisilo na budget?
   
 11. Makucha

  Makucha JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mchokoza mada nadhani umeelewa tosha kutokana na yote yaliyosemwa.
   
 12. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  MKUU ankushauri kabla ujasema neno fanya utafiti au research.Pale kijiji kwa bibi yake Obama kumebadilika sana kuna maendeleo ya juu,huduma za kibinadamu zimeimalishwa,kama vile afya,shule,miundombinu.maji ya bomba,umeme kijiji kila nyumba imepatiwa umeme na maji kila nyumba.kwa bibi yake na obama kumeboleshwa nyumba za kisasa zimejengwa pale natalii wanakwenda pale kupata historia ya babu na baba ya Obama.Ulinzi tena askari wa wakisaidiwa na marekani wanajua kuwa lolote litakalo mpata bibi yake obama litamgari Rais wao kuja kenya.
  Pia kenya uwekezaji umeongezeka kutoka marekani. We unavyofikili sivyo OBAMA anapata habari zote za kenya kuliko wakenya wenye.
  Je tangu Obama awe Rais umesikia kenya watu wanakufa hovyo kwa kupigwa risasi au vimeamia Tanzania vya kuu watu hovyo.
   
 13. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kumbuka Obama yuko kwa ajili ya Americans.. na usisahau US kuna Republicans..kina Bush.. Kama Obama akitia mguu kwa wajaluo basi Republican wataigeuza geuza na inaweza kum-cost Obama second term.. Jamaa ana mikakati ya kupata second Term..akipata tu..basi anaweza hata kuja Bongo..
   
 14. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Iwapo anahofia vitu vidogo vidogo kama hivyo kuhusiana na kwao basi afadhali akose huo uraisi kipindi cha pili.Mbona hakuhofu mambo kama hayo kwa kwenda kujinasibu kule Scotland?.
  Kukosa kwake uraisi itakuwa ni nafuu kwetu waislamu wa Kenya na EA kwa sababu siku akija kama raisi tutadhalilika sana.Hata nchi yetu nayo itadhalilishwa sana.Nakumbuka Bush alipokwenda Tanzania walipanda mpaka juu ya paa za ikulu bila kuomba ruhusa ya mtu yeyote.Askari waliokuwepo walijifanya kama hawawaoni na hawakusema nao.
  Akija tena Kenya wacha aje kama mtoto mpotevu anayerudi kwao.

   
 15. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I agree with you...Hawa watu si waku amini..na hiyo hypocrisy yao.. Kwa sababu sisi EA tuko nyuma kimaendeleo na kifikra...basi wanaweza kutuchezea kama watakavyo..lakini kwa upande mwingine ni ujinga wetu.. heri tungangamale na umasikini wetu lakini tukifa na values zetu..lakini kuliko kuonekana taka taka mbele za wazungu.. ni ukoloni mamboleo ambayo kuna wengine hawaoni au wameathirika na virus hiyo ya ukoloni mamboleo ... Itafika wakati wataingilia hadi uhuru wetu wa kula ugali nasi kwa ujinga wetu tutachekelea... Kumbuka mu America atabaki kuwa mu America mpaka siku ile atakaporudi Africa akiwa yeye mwenyewe baada ya kutambua binadamu wote ni sawa....
   
 16. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hawamuhusu hao wajaluo kwa sasa labda akistaafu
   
 17. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Kenya walichakachua matokeo ya kura za urais,pia walifanya mauaji wakati wa uchaguzi(OCAMPO6)
  so Obama awezi enda Kenya ata kama Nyanya ake amekufa leo,kwani USA inapingana na haya mambo ambayo kenya imeyafanya,na Juzi Kenya imeripotiwa kuwa ina one of the most wanted Drug KingPin.so Obama akienda apo anajichafua
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Na hapo anaonyesha anachanja huyo!
   
 19. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  obama ni R-Wa amerika siyo wa hao waliochinja ng'ombe ,pili shukrani waziombe kutoka kwa kibaki siyo kwa obama
   
 20. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Poooaa! Na kama walichinja ng'ombe si walikula wao wao tu! Kwani alikula Obama? Umenifurahisha sana, anafikiri Obama ni kama marais wetu hata mikutano ya kitaifa na kimataifa sasa wanataka ifanyikie Bagamoyo?
   
Loading...