Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Kichuguu.. umeweka tofauti ya pongezi kwa mtu aliyeshinda katika uchaguzi huru, na pongezi kwa wananchi walioshiriki katika uchaguzi. Hakuna ubishi wala kuspin maneno - Obama hakutoa pongezi kwa Rais Kikwete kwa ushindi wake bali ametoa pongezi kwa Wananchi wa Tanzania kufanya uchaguzi katika spirit ya vyama vingi.
Na hakuna shaka amempongeza Shein kwa ushindi wake. Zanzibar hakukuwa na matatizo ya Bara safari hii kwa hiyo hakukuwa na hakuna tatizo la legitimacy ya mshindi. Kwenye Muungano hilo lipo na kwa kadiri ya kwamba Dr. Slaa bado hajaridhika na mwelekeo wa uchaguzi ulivyofanywa na Tume, Rais Kikwete hawezi kuenjoy the same level of legitimacy aliyokuwa nayo baada ya kushinda kwa asilimia 80.
Wamarekani katika serikali yao wanajua sana maana ya lugha ya kidiplomasia.