Obama Congratulates Tanzanian People, Shein but skip congratulating JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama Congratulates Tanzanian People, Shein but skip congratulating JK

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Invisible, Nov 13, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Kwa wale ambao macho yao yana matatizo nayaweka maandishi chini ili yasomeke kilichoandikwa:

  ===============================================

  [FONT=&quot]The White House[/FONT]​
  [FONT=&quot]Office of the Press Secretary[/FONT]​
  [FONT=&quot]For Immediate Release[/FONT]​
  [FONT=&quot]November 13, 2010

  [/FONT]​
  [FONT=&quot]Statement by the President on Elections in Tanzania

  [/FONT]
  On behalf of the United States, I congratulate the people of the United Republic of Tanzania on your recent national election and your continued commitment to a tradition of multiparty contests begun in 1992. I look forward to working with President Jakaya Kikwete and the members of the Tenth Parliament as we build on the long, fruitful partnership between our nations to advance shared development goals and tackle the many global challenges before us.

  I also extend my congratulations to Zanzibar’s President Ali Mohamed Shein, First Vice President Seif Sharif Hamad, the new unity government, and most especially the Zanzibari people, who have made history by conducting a peaceful contest after years of strife. As I said to President Kikwete when we met at the White House in 2009, the people of the United States support all Tanzanians in your efforts to institutionalize democratic, transparent governance, to realize the full potential of your Union, and to ensure that the steps you have taken together toward a lasting peace and prosperity cannot be reversed.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nae obama kapewa nini? Au ndo muendelezo wa misheni za bush hapa bongo? Anyway, waswahili wa pemba hao
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kampongeza Shein, Seif, Wazanzibari na watanzania lakini hajampongeza JK na Bilal, (hata CCM kwa ushindi) maanake nini hii?
   
 4. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ninasikia tuna uranium, na jamaa wanahitaji kuiwahi kabla haijaangukia ktk mikono ya China au Arabs, si jamani mnafahamu rasilimali zetu zimekuwa kama zinaupupu hivyo kuendelea kukaa nazo tutajikuna mpaka tuwe maiti.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Aliposema "i also extend" alikua ana maanisha nini?
   
 6. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sishangai maana angalia footer hapo china ya barua utagundua imeandikiwa kwenye ubalozi hapo dar
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  acha uchokozi Invisible that's what we call a cold salutation cum recognition....hehehe si ajabu Mkwere kujitamba nayo
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wasipotoa hongera si twaweza ghaili uchimbaji wa Uranium kule Namtumbo na Madaba!
  So pongezi ni lazima
   
 9. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That is not a statement from President Obama.
  In fact, the lack of ANY signature leads me to believe it's a completely fraudulent document.
   
 10. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mbona watu hawaelewi? Hajampongeza JK wala CCM:
  "On behalf of the United States, I congratulate the people of the United Republic of Tanzania on your recent national election and your continued commitment to a tradition of multiparty contests begun in 1992. I look forward to working with President Jakaya Kikwete
   
 11. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Don't take this the wrong way, but if you think America needs Tanzania more than Tanzania needs America, then you're really obtuse.
   
 12. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Alikuwa ana maanisha kuwa baada ya kupongeza wananchi wa Tanzania pamoja na kuchakachuliwa kura zao bado wakawa peaceful pia pongezi kwa Dr Shein, Maalim Seif na watu wa zanzibar

  Ulitaka footer iweje?, au ulitaka Gibbs kwenye press conference WH awatupie press cops copy hiyo?, kama ni hivyo nini maana ya kuwa na embassy?
   
 13. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  And of what significance is his recognition of our president or election? We are a free country. We will work with those who are inline with our principles, and only those.
   
 14. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]On behalf of the United States, I congratulate the people of the United Republic of Tanzania on your recent national election and your continued commitment to a tradition of multiparty contests begun in 1992. I look forward to working with President Jakaya Kikwete and the members of the Tenth Parliament as we build on the long, fruitful partnership between our nations to advance shared development goals and tackle the many global challenges before us.
  I also extend my congratulations to Zanzibar's President Ali Mohamed Shein, First Vice President Seif Sharif Hamad, the new unity government, and most especially the Zanzibari people, who have made history by conducting a peaceful contest after years of strife. As I said to President Kikwete when we met at the White House in 2009, the people of the United States support all Tanzanians in your efforts to institutionalize democratic, transparent governance, to realize the full potential of your Union, and to ensure that the steps you have taken together toward a lasting peace and prosperity cannot be reversed.

  Comment:

  Amebaki nani kutambua maamuzi ya wapiga kura wa Tz?

  Mengi yamesemwa lakini wenye kujua demokrasia wanatambua!

  Mungu Ibariki Tanzania, tuepushe na vyama uchwara.
  Amen.

   
 15. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Aaah, mnaharibu,

  Jamaa anaweza kuzichukulia kama pongezi zake binafsi, lakini Obama is very bright in choice of words and wording itself! Au mmesahau swali la Kibonde lililohoji sura ya serikali yake katika 2010 kuelekea 2015, mara serikali na hospitali ya kufanya upasuaji wa moyo huku instruction zikitoka USA...! so please dont u,,,?
  :bowl:
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Yaani hii inatia aibu kabisa; Obama hajampongeza Kikwete kwa kuchaguliwa, na nadhani hilo ni jambo ambalo Kikwete anatakiwa alitafakari kwa makini. Obama huwa anapiga simu kumpongeza kiongozi aliyeshinda uchaguzi halali na kuongea naye mdomo kwa mdomo, halafu statement inafuata baadaye. Kama hajampigia simu Kikwete basi kaka yangu kaula wa chuya. Message hii imekaa kimtegomtego sana kwa Kikwete kwa sababu haonyeshi kuwa Obama kaongea na Kikwete na kumpongeza bali ni statement ya kidplomasia tu ya kupongeza watu wa Tanzania kwa ucahguzi wa amani pamoja na kuchakachuliwa kura zetu. Hebu angalia baadhi ya salamu ambazo Obama amewahi kutuma kuwapongeza viongozi walioshinda uchaguzi, zote ni kwa kuwaita (call).


   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kumbe hata wamarekani wanachakachua?
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  JK has to read btn the lines bse yeye kama yeye personally hajapongezwa kama walivyopongezwa wenzake as posted by Kichuguu
   
 19. 255Texter

  255Texter Senior Member

  #19
  Nov 13, 2010
  Joined: Aug 31, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Invinsible, ni kweli unachosema. WaMarekani wamekuwa very carefull NOT to congratulate JK or CCM kwa kile kinachoonekana ni ushindi huku Bara. Ukiangalia hiyo statement, regardless of whether imetoka White House or Ubalozi wa marekani, ni kwamba imeandikwa with great care kuhakikisha hakuna explicit congrats kwa mkwere. Na wamefanya hivyo makusudi wakijua kwamba mkwere na mafsadi wenzake wangeweza kutumia pongezi kutoka kwa mabwana wakubwa kama USA kuhalalisha uchakachuaji wao wa kura na ushindi haramu wa JK.

  Mimi ningekuwa mkwere au fisadi wa CCM ningekuwa very concerned kwa sababu with this statement wamarekani wameacha milango wazi ya hapo baadae kuweza kumlaani JK kwa kuiba na kuvuruga uchaguzi endapo ushahidi utaonesha ushindi wake si halali.
   
 20. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Invisible uko sahihi kabisa. Yaani ni bora liende. Kawapongeza watu wa Tanzania, Shein na kukubali kufanya kazi na Kikwete. Hii ni sawa na watanzania wote tulivyokubali. Yaani hata mimi ningekuwa Obama ningeandika hivyo. Kwanza salaam zimechelewa na pili ni pongezi kwa watanzania. Hii safi sana


  Kwa Zanzibar kampa heko Seif Hamad nafikiri kwa kukubali kuleta Amani Zanzibar. No mention of the second vice president
   
Loading...