Hivi Obama Mbona Hamna cha maana analofanya.Syria ametishiia Watu hapo mwishowe Putin amemfunga mdomo na Putin is nominated kupata Nobel peace prize.Haya oh Obama care go and sigh in Watu walienda website haifunguki,.Watu hawamweshimu hata kidogo .Afanyeje ili Watu wamweshimu Mpaka Rais wa Iran and mtetemesha Obama .Mpaka Samuel Jackson big Obama supporter amesema " Obama anatakiwa Ku act Kama leader " . Yeye Obama busy kushabikia ndoa za magay eti Tim ya mpira ibalishishwe n.k .Soon he will be a lame duck president .....