CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
Bi FaizaFoxy alipolisema hili kwa kumshauri Dr. Slaa bora angehalalisha Bhangi kuliko Gongo mlimuona ana elimu ya madrasa na mkambishia. Tena bibie huyo aliitetea sana hoja yake kwa kuanisha mpaka matumizi mengine ya gongo. Leo Rais wa "dunia" tena PhD holder amekuja kulisema hilihili na dunia nzima imemnukuu. FaizaFoxy ni miongoni mwa Great Thinker halisi wa JF sio nyie wengine msioweza hata kutetea hoja zenu.
Dah, hayo maandishi yako yanaumiza macho kaka, andika normal font tu mkuu point itaeleweka, kuweka kama tangazo hivi inakera macho!