Isitoshe watu wanashindwa kuelewa maamuzi haya yanafanywa na wengi behind closed doors lakini Mkulu anatekeleza. Ukimwuliza Mkulu leo deep down atakujibu 'it's part of my job' tusimhukumu huyu mtu kihiiiivyoooSio Obama tu hata wanagombea urais Clinton na Trump wanaunga mkono LGBT.Kwa hiyo mimi sioni tatizo la Obama.
Gays na homosexuals wanakubalika Marekani ki katiba sas kuwazuia wasiingie jeshini ni kuwanyima haki na fursa sawa. Kuwepo kwa magay jeshini hakumaanishi kukiukwa kwa taratibu nyingine za kijeshi hii inamaana hairuhusiwi kuwa na mpenzi jeshini na kama imetokea umempenda mwanajeshi mwenzako unaripoti katika uongozi na mmoja wenu anahamishwa.
Isitoshe watu wanashindwa kuelewa maamuzi haya yanafanywa na wengi behind closed doors lakini Mkulu anatekeleza. Ukimwuliza Mkulu leo deep down atakujibu 'it's part of my job' tusimhukumu huyu mtu kihiiiivyooo
Time is dynamic.Acha kuongopa, kwa nini hawa mashoga na transsexual hawakuruhusiwa wakati wa Bush au Reagan? Kwa nini wakati wa Obama tu?
Things have changed Mkuu. Idadi ya hawa watu imeongezeka kwa kasi kubwa hawana pa kutokea. It's politics Mkuu! Utafutaji wa kura hakuna lingine. Just a reminder' uwe na staha ya maneno sio kila mtu unamwita mwingo elimisha fafanua ni mjadala sio ugomvi!Acha kuongopa, kwa nini hawa mashoga na transsexual hawakuruhusiwa wakati wa Bush au Reagan? Kwa nini wakati wa Obama tu?
Things have changed Mkuu. Idadi ya hawa watu imeongezeka kwa kasi kubwa hawana pa kutokea. It's politics Mkuu! Utafutaji wa kura hakuna lingine. Just a reminder' uwe na staha ya maneno sio kila mtu unamwita mwingo elimisha fafanua ni mjadala sio ugomvi!
Obama siyo ngozi nyeusi acha kutupakazia, Obama ni mchotara, mama yake ni Mzungu 100%
Ukichanganya na alivyomuua Gaddafi, ndio nazidi kumchoka!Nilimkubali Obama kwa muda wa mwaka mmoja tu wa uongozi wake mwaka 2008 lakini baada ya hapo nikamdharau sana kutokana na kukosa maono na msimamo thabiti kuhusu mahusiano ya kimapenzi kiasi cha kukosa ujasiri wa kuiga waliomtangulia kupiga vita ndoa za jinsia moja.
Ameweka alama moja mbaya sana hususani katika uso wa mtu mweusi mbele ya jamii ya kimataifa
Mwafrika ni mwafrika tu- the saying goes: Muhogo ni muhogo hata ukautia nazi! utabaki muhogo tu!Haya Obama