Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 81
Sijaelewa mpaka sasa jamaa kafanya nini kustahili hii Prize.
Atafanya vitu tofauti kidooogo....atawapiga wale waliolipua Empire building, na sio wengineo...Ka ease tensions gani? Ni mapema mno kupima mafanikio yake. Hivi unataka kunambia leo hii Al Qaeda akilipua Empire state building Obama hatafanya kama alivyofanya Bush?
Well huu ni ubishi wa maskani sasa.....Well...alifanya mengi yakiwamo kupiga mambomu Iraq (mara kadhaa), kupiga mabomu Yugoslavia, kujarbu kutatua mgogoro wa mashariki ya kati n.k.
Hivi huoni kama jamaa anapiga mzigo for the better of his country, au ni hayo ya bipartisan nini mkuu?...maana kama ni hivyo mie siuwezi ubishi wa aina hiyo....siku zote kuquote CBO, lakini wanaposema Sen Baucus Health Care plan itaisevu nchi $81B for a decade wanawageuka....Kama ni approach tu ndio inakuwa considered basi hao wanakamati ya nobeli wamepotoka! Badala ya kuangalia matokeo ya kazi na jitihada wao wanajikita kwenye nadharia ambazo hamna anayejua zitatoa matokeo gani. Kwa kifupi wamechemsha!!
That will be his prerogative kukubali au kukataa.....lakini at least wamrekognaiz....I think it would greatly add to his prestige if he humbly declines to accept the Nobel peace prize.
That will be his prerogative kukubali au kukataa.....lakini at least wamrekognaiz....
Hizi ni baadhi ya ahadi nzuri alizotoa, lakini mpaka sasa hakuna kitu cha maana, najua anahitaji muda wakutekeleza haya mambo, hivyo basi muda muafaka wa hata kumuorodhesha kwenye list ya nomination ulikuwa bado, twende pamoja hapa.
1. Begin removing combat brigades from Iraq - nada
2. Send two additional brigades to Afghanistan - hii muda simrefu atafanya, lakini alitakiwa kutoa majeshi yake kule.
3.End the use of torture - hii bado imekaa kisiasa zaidi jamaa zake bado wa torture na kuuwa raia wema kwenda mbele.
4. Close the Guantanamo Bay Detention Center - Amefikia wapi, siasa
5. End warrantless wiretaps - Amefikia wapi, same as Mr Bush japokuwa alikuwa against naye.
6. Seek verifiable reductions in nuclear stockpiles - Tusubili hii kama itatokea
7. Provide a path to citizenship for undocumented immigrants - Hakuna lolote alilofanya so far.
8. Reform mandatory minimum sentences - Nada
9. Secure nuclear weapons materials - Subirini muone kama hii kitu itatokea
10. Reduce oil consumption by 35 percent - Nada
11. Create cap and trade system with interim goals to reduce global warming - Anasua sua bado.
Angefanya atleast nusu ya hizi ahadi nzuri alizo ahidi, then wangeweza kumfikiria kumpa Nobeli, amefanya nini so far hadi kupewa Nobeli?
MJ
Here is a round-up of world reaction to the award as reported by news agencies.
KHALED AL-BATSH, AN ISLAMIC JIHAD LEADER
Obama's winning the peace prize shows these prizes are political, not governed by the principles of credibility, values and morals.
Why should Obama be given a peace prize while his country owns the largest nuclear arsenal on Earth and his soldiers continue to shed innocent blood in Iraq and Afghanistan?
TALIBAN SPOKESMAN ZABIHULLAH MUJAHID
We have seen no change in his strategy for peace. He has done nothing for peace in Afghanistan. He has not taken a single step for peace in Afghanistan or to make this country stable.
We condemn the award of the Noble Peace Prize for Obama. We condemn the institute's awarding him the peace prize. We condemn this year's peace prize as unjust.
Tuko pamoja mkuu. Hawa jamaa wameona wampe huyu Obama kwa sababu IOC walimpiga chini (nahisi tu sina ushahidi).
Watu wengi wamehoji sana kuhusiana na Obama.. Lakini ukweli ni kwamba wameshindwa kuuliza watu Desmond Tutu alifanya nini, Dalai Lama, F.W. de Klerk, Yasser Arafat, Shimon Peres, Yitzhak Rabin, Al Gore na wengine chungu nzima ambao sijaona accomplishment zao..Wote hawa ni maneno matupu, hawakusababisha amani yoyote zaidi ya kusema sana.
Julius my friend Julius yaani hata kabla Sherehe yenu ya OIC haijaisha mnapata bad news. Hii inaonesha ni jinsi gani rightwings walivyoungana na Terrorists kupinga ushindi wa Obama. Jina Obama ni mwiba mkubwa sana kwa Terrorists and GOP.
Yaani mkuu kwa kweli comments kama za Julius ndo zinachekesha na kusikitisha at the same time. Hivi kweli wanaona kama Obama alikosa usingizi kwa ajili ya Olympics? Na kweli Nobel committee wako busy kuangalia what and who slighted Obama? For real? I agree that i suffer from mild paranoia (being Tanzanian) but this is HILARIOUS
On the other hand I agree that for the first time terrorist organizatios like Taliban and right wing nuts like Rush Limbaugh agree on this.... it is disgusting but then they are different sides of the same coin!
Susuvuri,
This guy has done nothing for peace in Afganistan, Iraq and the middle east, nobel prize for what...PEACE?..
nO
Hao wengine walioshinda uko Middle East walifanya nini (Arafat, Peres na Rabin)? Iran wiki mbili zilizopita walikubali kukaa chini kuhusu Nuclear zake, North Korea nao juzi wamewaambia China kuwa wanataka kurudi kwenye mazungumzo. Muda si mrefu utaona Taleban wanavutwa mezani.
Kuna mtu yoyote ameona report ya vigezo walivyotumia kumpa hii award?
Kuna mtu yoyote ameona report ya vigezo walivyotumia kumpa hii award?
Hii nayo imewekwa kwenye vigezo vya Peace Prize?7. Provide a path to citizenship for undocumented immigrants - Hakuna lolote alilofanya so far.
Sijaiona ndio maana nimeuliza.Kama unayo weka hapa, nimetembelea kwenye tovuti yao lakini hawasemi chochote juu ya vigezo.
Obama is too young for Nobel Prize..have the feeling even Michelle is not buying it.