Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 81
1. Begin removing combat brigades from Iraq - nada - Unafahamu kwamba sasa hivi brigade zinazoondoka zinakuwa replaced by less number ya support forces mkuu? Haiwezekani kufunga mahema within a week na kuondoka, kunafanyika strategic decrease mkuu.....
2. Send two additional brigades to Afghanistan - hii muda simrefu atafanya, lakini alitakiwa kutoa majeshi yake kule. - Again kamanda, ndio maana baada ya memo kuleake na Bob Woodward kuichapisha kwenye Wash Post kuwa generali anaomba majeshi zaidi badala ya kupunguza ndio kelele zimekuwa nyingi...lakini jamaa aliomba majeshi the first week aliyofika Afghanistan which is against his campaign promise.
3.End the use of torture - hii bado imekaa kisiasa zaidi jamaa zake bado wa torture na kuuwa raia wema kwenda mbele. - Dah mazee huwa unapataga nyuzi zako kutoka wapi mkuu...executive order mbona imeshatoka kitambo tu kusimamisha shughuli zote za torture.
4. Close the Guantanamo Bay Detention Center - Amefikia wapi, siasa - Umesahau mkuu kama alisema within a year give or take?? Predecessor alikuwa anawalundika tu kule sasa wamekuwa liability, ananegotiate na nchi duniani kuwachukua...ikishindikana wote wanakwenda lupango SuperMax Colorado mkuu....huko hatoroki mtu..
5. End warrantless wiretaps - Amefikia wapi, same as Mr Bush japokuwa alikuwa against naye. - Hivi sasa zinakuwa approved na FISA court kabla ya kuwa executed, kuliko ilivyokuwa before, zinasainiwa west wing. Haya ni mambo ya usalama wa nchi, kama ulikuwa na idea ya kuwa angesema zisimamishwe, basi ulikuwa hufuatilii saga lilivyotemwa na NYT.
6. Seek verifiable reductions in nuclear stockpiles - Tusubili hii kama itatokea - Couple of weeks ago Hillary alilizungumzia kwa kirefu tu....youtube it.....
7. Provide a path to citizenship for undocumented immigrants - Hakuna lolote alilofanya so far. - Anayoyafanya sasahivi tu anapigiwa kelele kuwa anajugle many balls at once.....ndio kwanza miezi minane tu hiyo mkuu....subiria sometimes next year....
8. Reform mandatory minimum sentences - Nada - Mkuu umesema reform; reforming federal law kwa nchi kubwa kama America ni long process, sio kwamba jamaa ataamka asubuhi aende rose garden na kusema unavyofikiria aseme. Ni legal rocess; AG Holder alishaulizwa around June kuhusu hilo, akasema litatakiwa lianze kwenye congressional stage, na nina imani unajua congress ilikuwa imegubikwa na nini all summer long.
9. Secure nuclear weapons materials - Subirini muone kama hii kitu itatokea - Litatokea kama proposal zake zilizopo the Hill akina Boehner na McConnell watazikubali bila siasa nyingi.
10. Reduce oil consumption by 35 percent - Nada - Unatakiwa kuishi by example....hybrid tax credit, oil efficient motorcade na mengineyo....akina Hullibuton na Harken Energy Corporation hawatowatumia powerful lobyists kuzuia....
11. Create cap and trade system with interim goals to reduce global warming - Anasua sua bado. - Mbona hii mlimpigia kelele wakati ule wa kampeni???
Una jingine???
Mwazange mkuu,
Tupo kurasa moja katika hili, ukiangalia hizo ni baadhi tu ya ahadi alizotoa ambazo kwa maana moja au nyingine zinaendana na maswala ya amani, hadi sasa hajafikia popote, sijapinga kwamba hatafanikiwa lakini kwa sasa mambo mengi hajayafanya kutokana na kuwa amekuwa ofisini kwa muda mfupi. Ana mipango mizuri na madhubuti lakini bado hajatekeleza bado kutikana na muda, kinga aliyonayo sasa hivi ni muda duu.
Sasa hawa jamaa wa Nobeli wamempa kwa vigezo gani.
Kwa ajili ya mazungumzo na Iran au North Korea...???
MJ