Obama awarded 2009 Nobel Peace Prize

From Wikipedia, the free encyclopedia

The Nobel Peace Prize According to Nobel's "the Peace Prize should be awarded "to the person who shall have done the most or the best work for fraternity between nations, for the abolition or reduction of standing armies and for the holding and promotion of peace congresses."
 
Ka ease tensions gani? Ni mapema mno kupima mafanikio yake. Hivi unataka kunambia leo hii Al Qaeda akilipua Empire state building Obama hatafanya kama alivyofanya Bush?
Atafanya vitu tofauti kidooogo....atawapiga wale waliolipua Empire building, na sio wengineo...
Well...alifanya mengi yakiwamo kupiga mambomu Iraq (mara kadhaa), kupiga mabomu Yugoslavia, kujarbu kutatua mgogoro wa mashariki ya kati n.k.
Well huu ni ubishi wa maskani sasa.....
Na katika list yako umesahau ishu moja ambayo hadi leo anaijutia.....He didnt do enough to stop Hutu/Tutsi genocide....baada ya Black hawk Down...na walimwambia kuwa imemnyima pointi
Kama ni approach tu ndio inakuwa considered basi hao wanakamati ya nobeli wamepotoka! Badala ya kuangalia matokeo ya kazi na jitihada wao wanajikita kwenye nadharia ambazo hamna anayejua zitatoa matokeo gani. Kwa kifupi wamechemsha!!
Hivi huoni kama jamaa anapiga mzigo for the better of his country, au ni hayo ya bipartisan nini mkuu?...maana kama ni hivyo mie siuwezi ubishi wa aina hiyo....siku zote kuquote CBO, lakini wanaposema Sen Baucus Health Care plan itaisevu nchi $81B for a decade wanawageuka....
 
Hizi ni baadhi ya ahadi nzuri alizotoa, lakini mpaka sasa hakuna kitu cha maana, najua anahitaji muda wakutekeleza haya mambo, hivyo basi muda muafaka wa hata kumuorodhesha kwenye list ya nomination ulikuwa bado, twende pamoja hapa.

1. Begin removing combat brigades from Iraq - nada
2. Send two additional brigades to Afghanistan - hii muda simrefu atafanya, lakini alitakiwa kutoa majeshi yake kule.
3.End the use of torture - hii bado imekaa kisiasa zaidi jamaa zake bado wa torture na kuuwa raia wema kwenda mbele.
4. Close the Guantanamo Bay Detention Center - Amefikia wapi, siasa
5. End warrantless wiretaps - Amefikia wapi, same as Mr Bush japokuwa alikuwa against naye.
6. Seek verifiable reductions in nuclear stockpiles - Tusubili hii kama itatokea
7. Provide a path to citizenship for undocumented immigrants - Hakuna lolote alilofanya so far.
8. Reform mandatory minimum sentences - Nada
9. Secure nuclear weapons materials - Subirini muone kama hii kitu itatokea
10. Reduce oil consumption by 35 percent - Nada
11. Create cap and trade system with interim goals to reduce global warming - Anasua sua bado.

Angefanya atleast nusu ya hizi ahadi nzuri alizo ahidi, then wangeweza kumfikiria kumpa Nobeli, amefanya nini so far hadi kupewa Nobeli?

MJ
 
That will be his prerogative kukubali au kukataa.....lakini at least wamrekognaiz....

Kama ningekuwa kwenye position ya kumshauri ningemshauri akatae.

Hii kitu wanaweza wakawa wamempa kama kifungo ili aweze kufanya mambo stahili, ni kama wamempa changamoto-la moto, lazima atafanya kazi sasa la sivyo in a few years time watoto wa Sasha watamuuliza vipi babu ulifanya nini kustahili Nobeli, sasa itabidi afanye kazi kweli.
 
Hizi ni baadhi ya ahadi nzuri alizotoa, lakini mpaka sasa hakuna kitu cha maana, najua anahitaji muda wakutekeleza haya mambo, hivyo basi muda muafaka wa hata kumuorodhesha kwenye list ya nomination ulikuwa bado, twende pamoja hapa.

1. Begin removing combat brigades from Iraq - nada
2. Send two additional brigades to Afghanistan - hii muda simrefu atafanya, lakini alitakiwa kutoa majeshi yake kule.
3.End the use of torture - hii bado imekaa kisiasa zaidi jamaa zake bado wa torture na kuuwa raia wema kwenda mbele.
4. Close the Guantanamo Bay Detention Center - Amefikia wapi, siasa
5. End warrantless wiretaps - Amefikia wapi, same as Mr Bush japokuwa alikuwa against naye.
6. Seek verifiable reductions in nuclear stockpiles - Tusubili hii kama itatokea
7. Provide a path to citizenship for undocumented immigrants - Hakuna lolote alilofanya so far.
8. Reform mandatory minimum sentences - Nada
9. Secure nuclear weapons materials - Subirini muone kama hii kitu itatokea
10. Reduce oil consumption by 35 percent - Nada
11. Create cap and trade system with interim goals to reduce global warming - Anasua sua bado.

Angefanya atleast nusu ya hizi ahadi nzuri alizo ahidi, then wangeweza kumfikiria kumpa Nobeli, amefanya nini so far hadi kupewa Nobeli?

MJ

Duh...kazi ipo kuna watu wanastahili kupewa kazi kwenye baraza la Nobel.
 
Here is a round-up of world reaction to the award as reported by news agencies.

KHALED AL-BATSH, AN ISLAMIC JIHAD LEADER
Obama's winning the peace prize shows these prizes are political, not governed by the principles of credibility, values and morals.
Why should Obama be given a peace prize while his country owns the largest nuclear arsenal on Earth and his soldiers continue to shed innocent blood in Iraq and Afghanistan?

TALIBAN SPOKESMAN ZABIHULLAH MUJAHID
We have seen no change in his strategy for peace. He has done nothing for peace in Afghanistan. He has not taken a single step for peace in Afghanistan or to make this country stable.

We condemn the award of the Noble Peace Prize for Obama. We condemn the institute's awarding him the peace prize. We condemn this year's peace prize as unjust.

Republicans (GOP)- Reaction

"The real question Americans are asking is, ‘What has President Obama actually accomplished?' It is unfortunate that the president's star power has outshined tireless advocates who have made real achievements working towards peace and human rights. One thing is certain – President Obama won't be receiving any awards from Americans for job creation, fiscal responsibility, or backing up rhetoric with concrete action."

My take: GOP and rightwing are joining the "Terrorists to criticize the Obama award of NPP. Only Terrorists can criticise the award.
 
Big up Obama,change is slow lakini foundation zote tumeanza kuziona na ndio tunaeleka huko,haters mnajidai hajafanya kitu lakini hata alivyofanya bado mnamchukia tuu...fanyeni mambo yenu na Obama afanye ya kwake tumechoka na wapenda vita na walafi dunia hii!
 
Watu wengi wamehoji sana kuhusiana na Obama.. Lakini ukweli ni kwamba wameshindwa kuuliza watu Desmond Tutu alifanya nini, Dalai Lama, F.W. de Klerk, Yasser Arafat, Shimon Peres, Yitzhak Rabin, Al Gore na wengine chungu nzima ambao sijaona accomplishment zao..Wote hawa ni maneno matupu, hawakusababisha amani yoyote zaidi ya kusema sana.
 
My dear friend Nyani, naona leo utakuwa na bad mood na for several weeks to come.
Unajua tuna very short memory na tumesahau how 2 years ago Americans were even ashamed to use their passports maana walikuwa wanachukiwa duniani, hata Europeans waliwaona uncouth and ignorant, lakini leo hii in a matter of less than a year the image of America has improved. Eti leo hii Israel imerudi to peace talks hata kama kwa shingo upande but they have returned. Obama has secured an agreement with Russia to reduce nuclear stockpiles, something that has not been done since Reagan. Sasa hapa mtaongea weeeeeeee, lakini he has really changed the political discourse. Who would have thought that the grandchildren of Hitler's Germany would turn out in hundreds of thousands to chant OBAMA?
He has inspired many ....even Latin Americans, Arabs, Africans, that is is HUGE achievement, lakini mnataka mupewe eti political achievement kaleta peace hapa na pale, if that is the case let me ask, is Mandela's achievement valid, kwa kuwa leo hii hakuna peace in South Africa, hata kama hakuna overtly apartheid lakini bado kuna ubaguzi....etc. So why did Martin Luther King get the peace prize, kwa sababu alipigwa? Au? Or why did Wangari Maathai deserve the prize?
If you decide to oppose you can always find a reason.....
 
Tuko pamoja mkuu. Hawa jamaa wameona wampe huyu Obama kwa sababu IOC walimpiga chini (nahisi tu sina ushahidi).

Julius my friend Julius yaani hata kabla Sherehe yenu ya OIC haijaisha mnapata bad news. Hii inaonesha ni jinsi gani rightwings walivyoungana na Terrorists kupinga ushindi wa Obama. Jina Obama ni mwiba mkubwa sana kwa Terrorists and GOP.
 
Watu wengi wamehoji sana kuhusiana na Obama.. Lakini ukweli ni kwamba wameshindwa kuuliza watu Desmond Tutu alifanya nini, Dalai Lama, F.W. de Klerk, Yasser Arafat, Shimon Peres, Yitzhak Rabin, Al Gore na wengine chungu nzima ambao sijaona accomplishment zao..Wote hawa ni maneno matupu, hawakusababisha amani yoyote zaidi ya kusema sana.

Hapo sasa mkuu, sasa Yasser Arafat kaacha a corrupt party and state behind, Yitzak Rabin na Shimon Peres still live in a divided land... no peace with the Arabs.... I truly appreciate the committee's decision, maana wametupatia wote challenge kubwa!
 
Julius my friend Julius yaani hata kabla Sherehe yenu ya OIC haijaisha mnapata bad news. Hii inaonesha ni jinsi gani rightwings walivyoungana na Terrorists kupinga ushindi wa Obama. Jina Obama ni mwiba mkubwa sana kwa Terrorists and GOP.

Yaani mkuu kwa kweli comments kama za Julius ndo zinachekesha na kusikitisha at the same time. Hivi kweli wanaona kama Obama alikosa usingizi kwa ajili ya Olympics? Na kweli Nobel committee wako busy kuangalia what and who slighted Obama? For real? I agree that i suffer from mild paranoia (being Tanzanian) but this is HILARIOUS
On the other hand I agree that for the first time terrorist organizatios like Taliban and right wing nuts like Rush Limbaugh agree on this.... it is disgusting but then they are different sides of the same coin!
 
Susuvuri,

This guy has done nothing for peace in Afganistan, Iraq and the middle east, nobel prize for what...PEACE?..

nO
 
Susuvuri,

This guy has done nothing for peace in Afganistan, Iraq and the middle east, nobel prize for what...PEACE?..

nO

Hao wengine walioshinda uko Middle East walifanya nini (Arafat, Peres na Rabin)? Iran wiki mbili zilizopita walikubali kukaa chini kuhusu Nuclear zake, North Korea nao juzi wamewaambia China kuwa wanataka kurudi kwenye mazungumzo. Muda si mrefu utaona Taleban wanavutwa mezani.

Kuna mtu yoyote ameona report ya vigezo walivyotumia kumpa hii award?
 
Mkuu, naona kama najirudiaudia sana... endeleni kuelimisha maana watu hapa naona wagumu kuelewa.....
 
1. Begin removing combat brigades from Iraq - nada - Unafahamu kwamba sasa hivi brigade zinazoondoka zinakuwa replaced by less number ya support forces mkuu? Haiwezekani kufunga mahema within a week na kuondoka, kunafanyika strategic decrease mkuu.....

2. Send two additional brigades to Afghanistan - hii muda simrefu atafanya, lakini alitakiwa kutoa majeshi yake kule. - Again kamanda, ndio maana baada ya memo kuleake na Bob Woodward kuichapisha kwenye Wash Post kuwa generali anaomba majeshi zaidi badala ya kupunguza ndio kelele zimekuwa nyingi...lakini jamaa aliomba majeshi the first week aliyofika Afghanistan which is against his campaign promise.

3.End the use of torture - hii bado imekaa kisiasa zaidi jamaa zake bado wa torture na kuuwa raia wema kwenda mbele. - Dah mazee huwa unapataga nyuzi zako kutoka wapi mkuu...executive order mbona imeshatoka kitambo tu kusimamisha shughuli zote za torture.

4. Close the Guantanamo Bay Detention Center - Amefikia wapi, siasa - Umesahau mkuu kama alisema within a year give or take?? Predecessor alikuwa anawalundika tu kule sasa wamekuwa liability, ananegotiate na nchi duniani kuwachukua...ikishindikana wote wanakwenda lupango SuperMax Colorado mkuu....huko hatoroki mtu..

5. End warrantless wiretaps - Amefikia wapi, same as Mr Bush japokuwa alikuwa against naye. - Hivi sasa zinakuwa approved na FISA court kabla ya kuwa executed, kuliko ilivyokuwa before, zinasainiwa west wing. Haya ni mambo ya usalama wa nchi, kama ulikuwa na idea ya kuwa angesema zisimamishwe, basi ulikuwa hufuatilii saga lilivyotemwa na NYT.

6. Seek verifiable reductions in nuclear stockpiles - Tusubili hii kama itatokea - Couple of weeks ago Hillary alilizungumzia kwa kirefu tu....youtube it.....

7. Provide a path to citizenship for undocumented immigrants - Hakuna lolote alilofanya so far. - Anayoyafanya sasahivi tu anapigiwa kelele kuwa anajugle many balls at once.....ndio kwanza miezi minane tu hiyo mkuu....subiria sometimes next year....
8. Reform mandatory minimum sentences - Nada - Mkuu umesema reform; reforming federal law kwa nchi kubwa kama America ni long process, sio kwamba jamaa ataamka asubuhi aende rose garden na kusema unavyofikiria aseme. Ni legal rocess; AG Holder alishaulizwa around June kuhusu hilo, akasema litatakiwa lianze kwenye congressional stage, na nina imani unajua congress ilikuwa imegubikwa na nini all summer long.

9. Secure nuclear weapons materials - Subirini muone kama hii kitu itatokea - Litatokea kama proposal zake zilizopo the Hill akina Boehner na McConnell watazikubali bila siasa nyingi.

10. Reduce oil consumption by 35 percent - Nada - Unatakiwa kuishi by example....hybrid tax credit, oil efficient motorcade na mengineyo....akina Hullibuton na Harken Energy Corporation hawatowatumia powerful lobyists kuzuia....

11. Create cap and trade system with interim goals to reduce global warming - Anasua sua bado. - Mbona hii mlimpigia kelele wakati ule wa kampeni???

Una jingine???

Kuna mtu yoyote ameona report ya vigezo walivyotumia kumpa hii award?

Kama unayo weka hapa, nimetembelea kwenye tovuti yao lakini hawasemi chochote juu ya vigezo.

Obama is too young for Nobel Prize..have the feeling even Michelle is not buying it.
 
7. Provide a path to citizenship for undocumented immigrants - Hakuna lolote alilofanya so far.
Hii nayo imewekwa kwenye vigezo vya Peace Prize?

Kama unayo weka hapa, nimetembelea kwenye tovuti yao lakini hawasemi chochote juu ya vigezo.

Obama is too young for Nobel Prize..have the feeling even Michelle is not buying it.
Sijaiona ndio maana nimeuliza.
Duh hii kali eti 'too young'. Hahaha

cover_690x460.jpg
 
Back
Top Bottom