hata kwao ''ujaluoni'' hataki kwenda
Sasa hii ina uhusiano gani na Prize?. It sounds like Rush Limbaugh, Beck, Hannity listener. Jamaa leo wataongea mpaka povu liwatoke midomoni. Last week aliposhindwa Olympic bid mlifurahia leo lazima mnune sana.
Jamaa anafanya kazi sana. Kuhusu suala la Amani fuatilia record yake tokea alipokuwa Senator, ndiyo utajua anastahili hii Peace Prize au la.