Obama awarded 2009 Nobel Peace Prize

"He got the prize because he has been able to change the international climate," Nobel Committee chairman Thorbjoern Jagland said. "Some people say, and I understand it, isn't it premature? Too early? Well, I'd say then that it could be too late to respond three years from now. It is now that we have the opportunity to respond – all of us."

naona hajabu sana kuona watu wengi wame ignore hayo maneno hapo juu kutoka kwa watoa zawadi wenyewe na kuanza kuuliza maswali mengine.jamaa zawadi ni yao na wao ndio wanaamua vigezo gani watumie kumpa mtu hio zawadi na mwaka huu ndio wametumia kigezo hicho hapo juu kumpa obama zawadi.
kitendo cha obama kuweza kuunganisha watu wakati wa kampeni mpaka kuweza kuchaguliwa kuwa raisi wa kwanza mweusi marekani hio peke yake tu inastahili hio noble peace prize lol.jamaa ana bahati muacheni tu msiwe kama republicans na nyinyi lol.
 
Nomination deadline ni February.

This guy he was only one month in his big office.

Hapana hii siyo sawa.
 
Between Obama and Bush.

Ningempa Nobel Peace Prize President Bush.

WHY..

Jamaa amesaidia sana kampeni ya kupambana na HIV/AIDS na Malaria, Big Time.

My Nobel Peace Prize between the two goes to Pres Bush.
 
For your opinion... kwani Programu yenyewe imefikia wapi???? Au ndio muheshimiwa anazitumbua kuvascodagama...:)
 
For your opinion... kwani Programu yenyewe imefikia wapi???? Au ndio muheshimiwa anazitumbua kuvascodagama...:)

Habari nilizopata zinasema sasa hivi Znz Malaria ni hadithi and this was some of Pres Bush initiatives, sasa hivi Tz watu wasio na uwezo wanapewa bed nets bure/kwa bei nafuu...this is happening my friend,
 
Wewe wacha wee...labda imeisha leo hii asubuhi....sio jana jioni hospitali ya bububu rafki yangu...stori za maskani hizo....swali lilikuwa la mtego hilo....Zanzibar malaria ipo...
 
dah!kwani huyu msee kawin ka achieve nini zaidi ya kuongeapoints tu!
labda amepewa mapema mno, wangesubiri kidogo labda 2011 kama angekuwa amefanikiwa na ahadi anazo toa!!
lakini nobel prize itampa changamoto zaidi!!
 
Back
Top Bottom