Obama, anaongea kianaume leo!

Obama, anaongea kianaume leo!

Jamaa simkubali kabisa na ufreemason wake kaivuruga dunia.

hata angakua ushetani, obama is a man, na sijui ulikuwa wapo osama akauacha unakuja kuleta majungu yako humu jamvini.
 
wewe obama ameharibu marekani na socialist ideas zake he need to go and we didnt want him here . His ego is over the top, he is way too left .Tumemchokaa na speech zake hakuna cha ubaguzi wala nini . Anaspend so much money,his carrier is over
<br />
<br />
na wewe si urudi kwenu?
 
Back
Top Bottom