Ungekuwa wewe ungetutajia hadi mavyagudoa yako!
Baba wa kweli ni yule anayelea mtoto; Mke wa kweli ni yule anayemzika mumuwe (kwa shida na raha)
nafikiri Obama yupo sahihi - mama winnie aliamua kula maisha yake wakati mzee yupo gerezani, ni kosa!!
Ulitaka atambulishe nyumba ndogo? angepoteza kazi.Kauli ni rahisi mno kutambulisha ujuha wa mtu!
Hayo ndo mambo ya itifaki mkuu. Shughuli RASMI KWA UTARATIBU MAALUM!
Sijasikia kiongozi yeyote amemtaja Winnie. Naona hata Rais wa Brazil amemtaja Graca .......... wengine kama Pohamba wa Namibia wameamua kutoa pole kwa ujumla kwa familia bila kutaja majina.
Naona J Zuma kamtaja, kwa nini Winnie bado anatumia jina la Mandela na Gracia bado anatumia jina na Machel?
Sijasikia kiongozi yeyote amemtaja Winnie. Naona hata Rais wa Brazil amemtaja Graca .......... wengine kama Pohamba wa Namibia wameamua kutoa pole kwa ujumla kwa familia bila kutaja majina.