Obama amuita Trump ikulu leo

Obama amuita Trump ikulu leo

What "ever"
Roman Empire waliotawala Dunia zaidi ya Miaka 1000 wasemaje tena wao ilikuwa ni actual domination sio hiyo abstract ya hao waabudu unnatural sex
Mkuu hapa unataka kusemaje?

Nafikiri unnatural sex haijaanzia USA, na inategemea unnatural sex wengine wanaidefine vipi, je kama kwao sio unnatural?

Pia with all those issues n claims, haiondoi ukweli kuwa USA is a greatest country with major influences kwa dunia ya sasa.
 
Najerejea Caption yangu ya Msingi "ever".
Mdau alisema Us the greatest "country ever" lengo langu ilikuwa nikudefeat neno "ever" litumike kama ilivyo its literal meaning and not liberalizing or generalizing as a poetic. Kuhusu an natural sex sijui actually ilianzia wapi ila ktk zama hizi hao mashetani (Us) wamekuwa wanadramatise huo uchafu na ku-implicate their pioneer ship to the same.
Kuwa ana Asubuhi njema.
 
Back
Top Bottom