Obama amekuza

Obama amekuza

Secret Service wanatesa wewe......

Secret-Service-3.jpg

yule mshua wao nux sana hakawii kukupa kesi
 
naona ule umri muafaka wa star justin bieber kujilia vitu vyake kwa sasha obama umewadia.mtoto kashavunja ungo tayari.inasemekana bieber anampigia sana mahesabu huyo mtoto tangu kakiwa kakinda.
 
kwa jinsi obama anavyo wapenda binti zake .nadhani haya ndio yatakuwa masharti muhimu kwa BF wa kwanza ku date na sasha.

1:get a job

2: understand i dont like you

3: i'm everywhere

4:you hurt her,i hurt you

5:be home 30 minutes early

6:get a lawyer

7:if you lie to me,i'll find out

8:she is my princes,not your conquest

9:i dont mind going to jail

10:whetever you do to her,i'll do to you.

chezea binti wa raisi wa dunia wewee.lol
 
Well mannered? How do you know about that?
Watoto ni wazuri sana, halafu huyu mdogo naye kumbe anarefuka sana, ona anamfikia dada yake. They are supper tall and adorable, well mannered daughters. Keep it up Michele and Bibi who is always with the girls.
 
kwa jinsi obama anavyo wapenda binti zake .nadhani haya ndio yatakuwa masharti muhimu kwa BF wa kwanza ku date na sasha.

1:get a job

2: understand i dont like you

3: i'm everywhere

4:you hurt her,i hurt you

5:be home 30 minutes early

6:get a lawyer

7:if you lie to me,i'll find out

8:she is my princes,not your conquest

9:i dont mind going to jail

10:whetever you do to her,i'll do to you.

chezea binti wa raisi wa dunia wewee.lol

Hahaha 😀 .. Hapo bado Mahari..
 
Unatia mimba kwanza wale wa Ikulu yetu!!! Wa kule kwa wenzetu wanaolewa fresh tu. Si uliona Chelsea Clinton.


Watoto hawajui shida hao, akitaka kitu kataka...si mapenzi ya Kitanzania mwanaume anajifanya ye ndio kidume....Ukileta mchezo unaachwa.....
 
Back
Top Bottom