Anafika mwisho wa safari.Hahahahahah lol! Unajua hii picha imekaa kinokonoko sana maana jinsi alivyokishika hicho kichwa na huku akiwa na kicheko cha hali ya juu unaweza kudhani alikuwa anananihii 🙂🙂
Anafurahia taarifa ya kwamba bado yuko mbele kwenye kura za maoni.
Btw, sectret service wao huwa hawacheki? Naona jamaa hapo pembeni wamekula ndita tu!
Hahahahahah lol! Unajua hii picha imekaa kinokonoko sana maana jinsi alivyokishika hicho kichwa na huku akiwa na kicheko cha hali ya juu unaweza kudhani alikuwa anananihii 🙂🙂