Obama amefulia: Sasa maji ya shingo!!

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
785
Nimemaliza kuangalia debate ya GOP presidential hopefuls on CNN. Kutokana na hali ya uchumi inavyodorora hapa US kwa sasa, na unemployment rate bado iko 9.1%, kwa kusema kweli kama hakuna mabadiliko yoyote ya kiuchumi na kama unemployment itabaki around 9% in the next 12 months, basi mjaluo amekwisha na atakuwa one-term prez.
Najua wengi tunampenda Obama lakini the fact of the matter ni kwamba uchumi unamshinda na anakoelekea sio kuzuri. Kazi ipo.
 
Hana mshindani.
wana-tie na Romney kwenye polls! Kumbuka Bush senior hakuwa na mpinzani till a little known governor from Arkansas (Bill) ghafla akapanda chati miezi ya mwisho na mzee wa watu akafa kifo cha mende. Kwa hali ya uchumi iliopo hapa US kwa sasa mjaluo ana kazi pevu sana ya kurudi white house
 
Ukisikiliza uchambuzi wa MSNBC, hawa jamaa pia wameshindwa kuelezea mikakati yao kuhusiana na small businesses na hapo Obama ana edge. Pia wana sera ya kubinafsisha social security policy-kitu ambacho Gates anasema ni sera iliyoshindwa. Gates anasema hawana sera za kuwatoa wamarekani hapo walipo.
 
Nimemaliza kuangalia debate ya GOP presidential hopefuls on CNN. Kutokana na hali ya uchumi inavyodorora hapa US kwa sasa, na unemployment rate bado iko 9.1%, kwa kusema kweli kama hakuna mabadiliko yoyote ya kiuchumi na kama unemployment itabaki around 9% in the next 12 months, basi mjaluo amekwisha na atakuwa one-term prez.
Najua wengi tunampenda Obama lakini the fact of the matter ni kwamba uchumi unamshinda na anakoelekea sio kuzuri. Kazi ipo.

Mkuu usi-underestimate kabisa uwezo wa jaluo, he's one of the best politicians ever na hata hao repubs makini wanalijua hilo. In short katika hawa bado sioni mtu nayeweza kudebate na jaluo. The other big factor ambayo jaluo na edge kuliko wote hao ni likability, he's just liked!!!!
 
Angefanya vizuri zaidi awaachie osama azidi kuwamaliza. kamaliza moja then atafanya lingine mpeni support. hata ngozi ya mwili wako unaichukia, loooo, rudi bongo uone maisha magumu yakoje.
 
Mkuu usi-underestimate kabisa uwezo wa jaluo, he's one of the best politicians ever na hata hao repubs makini wanalijua hilo. In short katika hawa bado sioni mtu nayeweza kudebate na jaluo. The other big factor ambayo jaluo na edge kuliko wote hao ni likability, he's just liked!!!!
Americans like results and not likability. I can bet with you if you are ready. If the current state of the economy and the rate of unemployment remain the same till November next year, then your beloved Jaluo will be a one term-prez.
 
No American president since Franklin Roosevelt has won a second term in office when the unemployment rate on Election Day topped 7.2 percent but who knows? Jaluo might come up with something.
 
Things may change if they kill Gaddafi he will gain popularity again but will be for a short time!
 
Kumbe Jamiiforums kuna Wamarekani kibao! Mi nilifikiri ni forum ya wabongo tu!
 
What is happening in the USA is just all around the global,is not the case of Obama,it is world economy reccession which affected global growth,Americans can decide to bring new guy at the white house just to clear Obama the so called failed policy and it will take another 8yrs for a new president to archieve what Obama did in his first term.
 
Nimemaliza kuangalia debate ya GOP presidential hopefuls on CNN. Kutokana na hali ya uchumi inavyodorora hapa US kwa sasa, na unemployment rate bado iko 9.1%, kwa kusema kweli kama hakuna mabadiliko yoyote ya kiuchumi na kama unemployment itabaki around 9% in the next 12 months, basi mjaluo amekwisha na atakuwa one-term prez.
Najua wengi tunampenda Obama lakini the fact of the matter ni kwamba uchumi unamshinda na anakoelekea sio kuzuri. Kazi ipo.

Wewe ni Mmarekani au Mtz?
 
hakuna cha wamarekani wala nini ni watumwa tu wa akili wanaoishi kwa ndoto za watu wengine
Expand your horizon,inaposemwa kwamba Dunia ni kijji maana yake ndio hii,you live in Ndendeule village and you happen to hear,see or know what is happening in the World even in nutshell.
 
stop being stupid minded, kuwa kijiji haina maana kuwa you will have an opportunity to vote for or against Obama na haimfanyi mtanzania kumpigia kura obama au rais wa nchi yo yote ile kadri anavyotaka, stop thinking using your stomach, use your brain
 
Back
Top Bottom