Obama amefulia: Sasa maji ya shingo!!

kwa kawaida wazungu,wanakasirika zaidi pale mweusi anaposhindwa kufanya kile walichotarajia

hasira zao zinakuwa mara mbili ya mzungu ,kama ni mzungu ameshindwa
Hii ni dhahiri kuwa unawaelewa sana.
 
Nimemaliza kuangalia debate ya GOP presidential hopefuls on CNN. Kutokana na hali ya uchumi inavyodorora hapa US kwa sasa, na unemployment rate bado iko 9.1%, kwa kusema kweli kama hakuna mabadiliko yoyote ya kiuchumi na kama unemployment itabaki around 9% in the next 12 months, basi mjaluo amekwisha na atakuwa one-term prez.
Najua wengi tunampenda Obama lakini the fact of the matter ni kwamba uchumi unamshinda na anakoelekea sio kuzuri. Kazi ipo.

Mkuu ni chama kipi kilicho ua uchumi hapa USA? Na ni chama kipi chenye utamaduni wa kuua uchumi hapa USA?
 
mkuu ni chama kipi kilicho ua uchumi hapa usa? Na ni chama kipi chenye utamaduni wa kuua uchumi hapa usa?

kumbe umezamia hapo usa , ngoja siku utayokamatwa na kuwekwa kule korokoroni ndipo utapomtafuta yesu wako hewa usimuone isipokuwa wale vijana wenye uchu wa madhabihu , jeuri yote itakutoka, MWENZAKO Maxishimba KATOKOMEA Columbia na Mexico kujitafutia vigunia vya podali apate kusave maana kupitia kanisa labda anaona njia ni ya mkato
 
Mbona Congressman Paul Ryan alishampa Obama ushindi wa term ya pili kitambo tu!.
 
lakini pia usitufanye watumwa wa akili wa kuangalia na kushabikia ya wengine huku tukisahau au kudharau ya kwetu.
Sawa ndugu, na wewe usitake kuwachagulia watu kitu cha kufanya maana hapa kuna majukwaa mbalimbali. Nitashangaa kama kuna watu wanachangia kila jukwaa. Natarajia mtu achangie kutokana na interest zake ktk jukwaa fulani. Watu wanaochangia mambo ya nje wawe huru.
 
Americans like results and not likability. I can bet with you if you are ready. If the current state of the economy and the rate of unemployment remain the same till November next year, then your beloved Jaluo will be a one term-prez.

Mkuu utatoa wapi fweza za kampeni if you are not likable? Maana hela ya kampeni inaplay role kubwa probably kuliko factor nyingine yeyote ile in the american politics. Can you mention one elected president at least for the last 40 years who won the elections with low levels of likability. And remember nimesema hii ni the other big factor and not the only factor. Halafu kitu kingine ukiwasikiliza vizuri hao wagombea to be wa repubs wanakampaign na sera zile zile zilizoufuikisha uchumi hapo ulipo. Voters need substance and specifics about how you gonna take the economy outta the deep ditch and not how much you don't like obama.
 
Kumbe na US kuna bwana mapesa? Lol!. Siasa za Marekani one day is more than a year. It is too early to bet on the presidency of Obama. GOP wamepewa House tokea waingie hawaibuka na idea hata moja ya kukuza uchumi, zaidi ya kukazania ku-repeal everything Obama did, Ila sijui kama watahitaji kumrudishia Uhai na OBL. Their strategy is very clear to defeat Obama, ila subiri Kampeni zianze watu waanze kupewa ukweli wa mambo. USA walifanya makosa sana kuwakabidhi GOP House of representative katika flagile time. Watu sasa wamejua kuwa GOP is not for them but for the rich, Ukija kwenye suala la medicare ku-go Public ndiyo hapo utakapoona kuwa siasa za marekani ni ngumu. pundits wanabishana kila kona na ukiwasikiliza unaweza amini kuwa Obama sasa is over au GOP hakuna strong candidate. Ngoja apatikane mmoja upande wa GOP wa kukabiliana na Obama hapo ndipo utajua maana ya Omera!

Namkumbuka sana Scott Brown and his so called golden vote ahaha ahaha ahaha!
 
Mkuu utatoa wapi fweza za kampeni if you are not likable? Maana hela ya kampeni inaplay role kubwa probably kuliko factor nyingine yeyote ile in the american politics. Can you mention one elected president at least for the last 40 years who won the elections with low levels of likability. And remember nimesema hii ni the other big factor and not the only factor. Halafu kitu kingine ukiwasikiliza vizuri hao wagombea to be wa repubs wanakampaign na sera zile zile zilizoufuikisha uchumi hapo ulipo. Voters need substance and specifics about how you gonna take the economy outta the deep ditch and not how much you don't like obama.

Nobody did like Richard Nixon, but was elected anyway
 
Wazungu wanakuwa na hasira mara 3 zaidi pale Mweusi anafanya jambo ambalo wao limewashinda.
kwa kawaida wazungu,wanakasirika zaidi pale mweusi anaposhindwa kufanya kile walichotarajia

hasira zao zinakuwa mara mbili ya mzungu ,kama ni mzungu ameshindwa
 
Nobody did like Richard Nixon, but was elected anyway

Mkuu ndiyo maana niliweka benchmark ya the last 40 years maana nilijua kuna hiyo exception. This was in 1968 and therefore more than 40.

"Likability is not everything, especially in times of war. Richard Nixon proved that in 1968, when he defeated everyone's favorite uncle, Hubert Humphrey. Just as voters then worried about the Vietnam War and social unrest" - NYT - 23/02/2004 . The highlighted imekuwa netralized by the death of OBL.
 
Nani amekuambia wananchi wa marekani ndo wanaomchagua rais?
 
Obama ni dhahiri atashinda Kiurahisi sana mwaka 2012. GOP hawana candidate mwenye sifa, smart, experience than Obama. Also, GOP hawana sera zaidi ya Tax cut for the rich, deregulation etc.
 
Obama ni dhahiri atashinda Kiurahisi sana mwaka 2012. GOP hawana candidate mwenye sifa, smart, experience than Obama. Also, GOP hawana sera zaidi ya Tax cut for the rich, deregulation etc.
Mkuu, naweza kukubaliana na wewe kwenye ili
 
Namkumbuka sana Scott Brown and his so called golden vote ahaha ahaha ahaha!

Sijakuelewa what do you mean?. Unajua kilichomshindisha Scott Brown?, Ni kwamba democrat voters wengi walikaa nyumbani wakati Tea partiers kwa msaada wa health insurers wakipiga mahesabu kuwa kama dems watakuwa below 60 in the senate healthcare vote will fail. Sasa subiri 2012, baada ya GOP kushambulia workers unions na kutaka kubadili mfumo wa medicare.

Unakumbuka uchaguzi wa US representative NY kwenye conservative district?, nani alishinda?, basi ndiyo ujue kuwa momentum imehamia upande mwingine. Scott Brown mwenyewe haamini na hana uhakika kama ata retain kiti cha Kennedy japo yeye anaita peoples seat. Imefikia sasa hivi anajifanya naye ni liberal.

Kuanza kuwazia uchaguzi wa 2012 hivi sasa ni kujipa pressure na kupoteza muda, kama wewe ni shabiki wa GOP basi wakati wa kujifurahisha na debate za kumkandia Obama ndiyo huu, but when it comes into general elections people wants to hear more than repeal, repeal repeal!. Kama Obama alishinda 2008 kwa hoja za kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa afya 2012 atakuwa anafanya report kwa voters wake wa 2008.
 
Mormon & Mr. Nice (wa Minnesota) hawapati kitu. Labda wajitokeze wengine
 
Obama nionavyo term moja ya urais imemtosha, wazungu wamemshikia bango sana
 
hakuna cha wamarekani wala nini ni watumwa tu wa akili wanaoishi kwa ndoto za watu wengine
mimi sioni tatizo kwa mtanzania kuwa usa,kila mtu ana haki ya kuwa popote pale apendapo pasipo kuvunja sheria ,kinacho tuzuia wengine tusiwe huko ni kupitwa pembeni na bahati

mlioko nje ya TZ komaeni na mambo yenu,ikiwezekana kuleta maendeleo bongo lete,ikishindikana basi,kila mtu anataka maisha mazuri ndio maana tunafanya kazi kama watumwa ili tuishe kama wafalme baadae,tatizo letu baadhi yetu hatutaki kukubali kuwa kila mtu na bahati yake,na tunajifanya kuponda huku tukiumia na bongo yetu

ebwana kama kuna nafasi USA tupeane dili jamani waacheni wanaoponda ni wivu tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom