Obama alipomkumbatia ''Mgonjwa wa Ebola''

Mhhh!!kwa hapa naweza kuwa tofauti na wewe kwa mara ya kwanza kabisa ingekuwa hivyo wangeupeleka huko kwa wale maadui wao wa Islamic State.
Islamic state sio maadui wa marekani.
kinachofanyika wataalamu wanaita DECEPTION.
 
Marekani ndio aliyetengeneza hiyo Islamic State ili apate kumuondowa Bashar Asad amka wewe . Marekani ndio aliyetengeneza Taliban na Alkaida ili apate kumpiga M-Rusi amka wewe huyu Siasa za Kibabae za kimarekani.Marekani ndio aliye mpa Saddam Husein Silaha za Sumu Silaha za Kibailojia ili apambane na Serikali ya Kiislam ya Ki-Iran mika ya 1980. Amka wewe mbona umelala? Mkuu NAPITA

Mkuu MziziMkavu Huyu NAPITA Bado hajaufahamu ulimwengu jinsi ulivyo na hasa Hawa Wamarekani Na wazungu wa ulaya kwa ujumla...!
 
Last edited by a moderator:

Nitaendelea kukataa mambo mengine Marekani wanasingiziwa tu ndio kuna mabaya wanafanya lakini haya ya Ebola hapana.
 
Hatutoki nje ya mada mkuu...! Ebu Nijibu hili swali hapa chini.

Ni nani anaedhibiti MEDIA ulimwenguni?
Labda hilo Swali lako Mkuu.@NAPITA atakujibun hivi wanaothibiti Media Duniani Uingereza na Tanzania. Mkuu.@Ntuzu hebu mpe Elimu huyu.NAPITA hajuwi kuwa ulimwengu upo chini ya Amerika?
 
Labda hilo Swali lako Mkuu.@NAPITA atakujibun hivi wanaothibiti Media Duniani Uingereza na Tanzania. Mkuu.@Ntuzu hebu mpe Elimu huyu.NAPITA hajuwi kuwa ulimwengu upo chini ya Amerika?

Nashukuru kwa Elimu mnayo nipa nyingine naikubali nyingine kidogo kwangu inakuwa ngumu kuielewa.
 
Mkuu MziziMkavu Huyu NAPITA Bado hajaufahamu ulimwengu jinsi ulivyo na hasa Hawa Wamarekani Na wazungu wa ulaya kwa ujumla...!

Uwezo wa nchi za Marekani na Ulaya wangekuwa nao waarabu dunia nzima tulishasilimishwa kwa nguvu mithili ya ISIS hizo hoja za kunyooshea vidole nchi za Ulaya na Marekani wakati waarabu, warusi na wachina nao wakiwa wababe tena waziwazi hazina mantiki.

China kavamia Tibet na kufanya nchi yao hakuna anayeongelea lakini Marekani kuvamia Iraq na kuondoa Saddam ni gumzo la dunia, Russia katungua ndege ya abiria kavamia Crimea, Ukraine nk hakuna anayesema chochote wakurd walikuwa na nchi yao imenyakuliwa na kugawanywa vipande vinne Uturuki kipande kimoja, Syria, Iraq na Iran na hakuna anayesema chochote sababu tu muislamu ananyanyasa muislamu mwenzake. Very absurd
 
Last edited by a moderator:
Marekani ndio aliyetengeneza hiyo Islamic State ili apate kumuondowa Bashar Asad amka wewe . Marekani ndio aliyetengeneza Taliban na Alkaida ili apate kumpiga M-Rusi amka wewe huyu Siasa za Kibabae za kimarekani.Marekani ndio aliye mpa Saddam Husein Silaha za Sumu Silaha za Kibailojia ili apambane na Serikali ya Kiislam ya Ki-Iran mika ya 1980. Amka wewe mbona umelala? Mkuu NAPITA

Kuna mambo Marekani imefanya lakini si kila jambo baya ni Marekani imefanya inafikia wakati stigmatization, propagation, stereotyping, generalizationa kwa kila jambo baya kutupiwa Marekani linakosa hoja

Marekani ilitengeneza Mujaheedin kule Afghanstan kupigana dhidi ya Urusi, ilishiriki kwenye slaha za kibayolojia na kikemikali kumsaidia Iraq dhidi ya serikali ya Iran na si Marekani pekee pia Urusi, Ufaransa na Ujerumani zilimsaidia Saddam kwenye hizo silaha ndo maana katika uvamizi wa Iraq nchi ya Urusi ilikuwa inamkingia kifua Saddam

Kuhusu Al-Qaeda hapo huna hoja mkuu Marekani haijatengeneza Al-Qaeda ambayo lengo lake ni kusilimisha dunia nzima kuwa waislamu kwa nguvu kwa kuanza na kuangusha dola la Marekani ambalo ni alama ya ukristo kisha kuangusha mataifa ya ulaya ambayo ni washirika wa Marekani baada ya hapo dunia nzima itasujudu kuelekea Maka

Kuhusu ISIS hebu nenda deep uiangalia ilivyoanza kwanza it was Tayyip Edorgan waziri mkuu wa Uturuki wakati ule aliposema kuwa serikali ya Assad ni ya kidhalimu lazima iondolewe akatengeneza peopaganda kushirikisha Marekani kwa kuonyeshea Assad ni dikteta maadamu Marekani inaamini Uturuki maana ni mshirika wake ilianza kuamini mpaka Urusi ilipoiambia Marekani ni propaganda za Uturuki maana Tayyip anataka Assad atolewe ili serikali yenye roots za kiislamu kama yake itawale Syria kuhakikisha mashariki ya kati ni pure Islam sababu tu Assad serikali yake ni secular ina wakristo madarakani na hata dhehebu lake la Alawite litokanalo na Shia lina masharti nafuu ikiwemo kunywa pombe kwa kiasi

Since Tayyip ni Islamist aliyeunga mkono Mohammed Morsi wa Misri na Hamas kuhakikisha vyama vyenye mlengo wa kushoto vinatwaa madaraka mashariki ya kati kajikuta hana support baada ya hila zake kugundulika ndo maana Marekani na nchi za Ghuba ziko cold toward the guy na hata hataki Marekani itumie base za Uturuki kushambulia ISIS. Marekani ni champion wa freedom of speech na religion kivipi aunge mkono au ianzishe ISIS yenye lengo lake kuu kuua wakristo wote na Yazid Mashariki ya Kati? Mpaka sasa mji moja Iraq uliokuwa wa wakristo umetawanywa na makanisa yamefanywa misikiti pia miji na vijiji vya Yazid vimetawanywa na mahekalu yao kufanywa misikiti basi ingekuwa the other way misikiri imefanywa makanisa tungesikia maandamano na.machafuko duniani watu wakisema takbirii
 
Last edited by a moderator:
Haiihitaji degree ujue hilo

Huitaji degree kujua ni great thinker kwa hoja zipi? Imekuwa ni kasumba baadhi ya watu kutupia lawama Marekani kila jambo ili mradi mjiridhishe na nafsi zenu ebola kaanzisha Marekani nk haya sie kama waafrika tumefanya nini? Si kuna madaktari wa kiafrika na wataalamu wa kiafrika kwanini tusigundue dawa na kutatua matatozo yetu kila kitu tusubirie toka Ulaya na Marekani?
 
Tatizo mnatoka kwenye Mada Mada kuu ni Kweli Ebola imetengenezwa na marekani kwa mujibu wa mkuu wa kazi MziziMkavu uko kwingine tukienda kunamapana.

Mkuu hao watoa hoja kushambulia nchi moja kwa lengo la kujiridhisha inashangaza kweli Ebola mara ya kwanza iligunduliwa mwaka 1974 huko Congo Republic kando kando ya mto Ebola ndo ikaitwa vile ukiangalia hata maeneo yanayokumbwa na ugonjwa huu ni yaliyo kwenye dense forest mfano wa Congo, Liberia, Gabon, Cameroun, Equatorial Guinea, Guinea nk. Ingekuwa ni vile kivipi Marekani ikatengene gonjwa katika nchi ambazo ni washirika wake? Basi si wangetengeneza wakaugua wachina, Warusi, Baadhi ya watu nchi za kiarabu ambao ni nemisis wa Marekani? Hoja zingine hazina mashiko
 
Nimesema hayo yote nikaonekana eti siwajui Marekani vizuri lakini nashukuru sana kwa maelezo yako ya kina nasubiri waliokuwa tunatofautiana ki mtazamo waje wajibu hoja zako ulizozitoa.
 
Back
Top Bottom