Obama alipomkumbatia ''Mgonjwa wa Ebola''

Obama alipomkumbatia ''Mgonjwa wa Ebola''

Hizo information zibandike hapa ili watu humu wasiende na hearsay mkuu.
Haina maana kupinga bila facts.

Pitia majibu ya Mwanamtapa yako self explanatory sihitaji nyongeza juu yake yanajitosheleza kwa mapana na marefu the way he answered no stone was left unturned
 
Mhhh!!kwa hapa naweza kuwa tofauti na wewe kwa mara ya kwanza kabisa ingekuwa hivyo wangeupeleka huko kwa wale maadui wao wa Islamic State.

NAKUUNGA MKONO BROTHER!

Kwa ukimwi ,ungesema hawakupeleka huko kwani watu hawachepuki sana ajili ya sheria zao kali.
Sasa na EBOLA utasemaje??

Hizi ni makala ambazo watu huziandaa tu kuaminisha watu uongo na uhuni wao pamoja na kujitengenezea umaarufu.

Mimi naamini 1st targeted persons ingekuwa #WAARABU .

Vyema sana brother!
 
Still no facts.

Wee unayekuja na conspiracy theories ndo uje na facts by the way alivyoongea Mwanamutapa ni facts kivipi maadui wamarekani warabu, wachina na warusi wasipelekewe ebola ije ipekekwe wa washirika wake? Mathalani Liberia? Haimake sense, wee unayesema Marekani imetenda hayo njoo na facts ili udispute lasivyo ni utopia
 
Back
Top Bottom