Obama alipomkumbatia ''Mgonjwa wa Ebola''

Nitaendelea kukataa mambo mengine Marekani wanasingiziwa tu ndio kuna mabaya wanafanya lakini haya ya Ebola hapana.

kweli mganga hajigangi, yaan NAPITA pamoja ujuzi woote ulionao lakn leo umeshindwa kugundua namna marekan anavyopandikiza ubabe
 
Last edited by a moderator:

Mimi huwa nasema kile ninachokiona nakiamini lakini kama nikipatiwa Sababu za kina nitakubaliana na nyie swala kubwa lilikuwa ni Ebola hayo mengine yanajulikana kwamba kwa kiasi fulani Marekani ni Mbabe ilo liko wazi mi ninachopinga ni kwamba Ungonjwa wa Ebola umetengenezwa na Marekana nazidi kukata kwa nguvu zote.
 
Marekani ndio aliyetengeneza hiyo Islamic State ili apate kumuondowa Bashar Asad amka wewe . Marekani ndio aliyetengeneza Taliban na Alkaida ili apate kumpiga M-Rusi amka wewe huyu Siasa za Kibabae za kimarekani.Marekani ndio aliye mpa Saddam Husein Silaha za Sumu Silaha za Kibailojia ili apambane na Serikali ya Kiislam ya Ki-Iran mika ya 1980. Amka wewe mbona umelala? Mkuu NAPITA
mkuu embu pita hapa muone Putin anachosema!!! hawa wazungu mimi nawashangaa sana.. NAPITA nawewe jongea hapa
https://www.youtube.com/watch?v=zXh6HgJIPHo

Nnachojiuliza inakuaje jamaa anajiamini hivi??
 
Last edited by a moderator:
mkuu embu pita hapa muone Putin anachosema!!! hawa wazungu mimi nawashangaa sana.. NAPITA nawewe jongea hapa
https://www.youtube.com/watch?v=zXh6HgJIPHo

Nnachojiuliza inakuaje jamaa anajiamini hivi??

Mkuu Putin hana lolote anajua kapoteza nafasi katika world order maana eastern camp iko chini ya control ya China

Putin ni dikteta na ni tabia ya madikteta kuongea kwa kujiamini kuimpose mawazo yao ambayo ni useless and baseless, hana moral authority maana anachezea Urusi kwa kujipachika uwaziri mkuu akisubiria urais kisha anarudi urais kwa sasa kaibia Urusi na ni tajiri namba moja duniani akiwa na utajiri unaokadiriwa dollar bilioni 70

Mgogoro wa Mashariki ya kati uko deep kuliko Putin anachoongea kawaida taifa linapovamia taifa jingine na kuondoa serikali ya kidhalimu lazima wavamizi wabaki kwa muda kuijenga nchi maana wanakuwa wameondoa fabric ya security wakiisha kaa kwa muda na kujenga ulinzi na usalama na system ya serikali basi hukabizi serikali mpya na kuondoka

Marekani walifanya hayo Japan, Ufilipini, Haiti, Panama, Ujerumani Magharibi, Korea ya Kusini nk lakini katika nchi za kiislamu na kiarabu za Afghanistani, Iraq, na Libya imeshindikana sababu baada ya wavamizi Marekani kuchukua nchi wenyeji wa nchi zile waakanza maandamano kupinga Marekani.kuwa ni wakoloni na wakristo waliokuja kuwatawala hawakuwapa muda kujenga security system za nchi zile maana anapoondoka dikteta aliyetawala kwa muda mrefu lazima system ianguke kunakuwa na power vacuum ndo maana ni busara kama si lazima mvamizi apewe muda kuijenga

System hii si ngeni maana hata Tanzania ilipovamia Uganda tulibaki na kujenga security ya Uganda hata kupitisha serikali ya muda chini ya Professa Lule baadaye Dk Godfrey Binaisa, si Uganda tu Tanzania ilipovamia Shelisheli kurudisha madarakani serikali ya Franco Albert Rineee majeshi ya Tanzania yalibaki.kule chini ya Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi Tanzania ilipoona security imerudi majeshi yakatoka na kurudi inakuwaje wao waarabu hawaruhusu wavamizi kubaki na kujenga mfumo kwanza? Ndo maana kwao ni machafuko tofauti zaidi tofauti na kwingine walikovamiwa
 
Well said mkuu hii kitu ni too deep ni wenye uwezo wa kuchanganua mambo kuona haya
 
Kuna mambo Marekani imefanya lakini si kila jambo baya ni Marekani imefanya inafikia wakati stigmatization, propagation, stereotyping, generalizationa kwa kila jambo baya kutupiwa Marekani linakosa hoja

Marekani ilitengeneza Mujaheedin kule Afghanstan kupigana dhidi ya Urusi, ilishiriki kwenye slaha za kibayolojia na kikemikali kumsaidia Iraq dhidi ya serikali ya Iran na si Marekani pekee pia Urusi, Ufaransa na Ujerumani zilimsaidia Saddam kwenye hizo silaha ndo maana katika uvamizi wa Iraq nchi ya Urusi ilikuwa inamkingia kifua Saddam

Kuhusu Al-Qaeda hapo huna hoja mkuu Marekani haijatengeneza Al-Qaeda ambayo lengo lake ni kusilimisha dunia nzima kuwa waislamu kwa nguvu kwa kuanza na kuangusha dola la Marekani ambalo ni alama ya ukristo kisha kuangusha mataifa ya ulaya ambayo ni washirika wa Marekani baada ya hapo dunia nzima itasujudu kuelekea Maka

Kuhusu ISIS hebu nenda deep uiangalia ilivyoanza kwanza it was Tayyip Edorgan waziri mkuu wa Uturuki wakati ule aliposema kuwa serikali ya Assad ni ya kidhalimu lazima iondolewe akatengeneza peopaganda kushirikisha Marekani kwa kuonyeshea Assad ni dikteta maadamu Marekani inaamini Uturuki maana ni mshirika wake ilianza kuamini mpaka Urusi ilipoiambia Marekani ni propaganda za Uturuki maana Tayyip anataka Assad atolewe ili serikali yenye roots za kiislamu kama yake itawale Syria kuhakikisha mashariki ya kati ni pure Islam sababu tu Assad serikali yake ni secular ina wakristo madarakani na hata dhehebu lake la Alawite litokanalo na Shia lina masharti nafuu ikiwemo kunywa pombe kwa kiasi

Since Tayyip ni Islamist aliyeunga mkono Mohammed Morsi wa Misri na Hamas kuhakikisha vyama vyenye mlengo wa kushoto vinatwaa madaraka mashariki ya kati kajikuta hana support baada ya hila zake kugundulika ndo maana Marekani na nchi za Ghuba ziko cold toward the guy na hata hataki Marekani itumie base za Uturuki kushambulia ISIS. Marekani ni champion wa freedom of speech na religion kivipi aunge mkono au ianzishe ISIS yenye lengo lake kuu kuua wakristo wote na Yazid Mashariki ya Kati? Mpaka sasa mji moja Iraq uliokuwa wa wakristo umetawanywa na makanisa yamefanywa misikiti pia miji na vijiji vya Yazid vimetawanywa na mahekalu yao kufanywa misikiti basi ingekuwa the other way misikiri imefanywa makanisa tungesikia maandamano na.machafuko duniani watu wakisema takbirii

Bravo kamanda haya maelezo yako well presented again you too deep on issues. Napenda maelezo yakinifu yenye narratives so mtu anaona kisemwacho si maelezo mepesi yasiyo na hoja
 
Haka kadada kamefurahi kukumbatiwa na raisi! Nadhani kaliota usiku uliofuata.
 
Mkuu Putin hana lolote anajua kapoteza nafasi katika world order maana eastern camp iko chini ya control ya China

Putin ni dikteta na ni tabia ya madikteta kuongea kwa kujiamini kuimpose mawazo yao ambayo ni useless and baseless, hana moral authority maana anachezea Urusi kwa kujipachika uwaziri mkuu akisubiria urais kisha anarudi urais kwa sasa kaibia Urusi na ni tajiri namba moja duniani akiwa na utajiri unaokadiriwa dollar bilioni 70

Mgogoro wa Mashariki ya kati uko deep kuliko Putin anachoongea kawaida taifa linapovamia taifa jingine na kuondoa serikali ya kidhalimu lazima wavamizi wabaki kwa muda kuijenga nchi maana wanakuwa wameondoa fabric ya security wakiisha kaa kwa muda na kujenga ulinzi na usalama na system ya serikali basi hukabizi serikali mpya na kuondoka

Marekani walifanya hayo Japan, Ufilipini, Haiti, Panama, Ujerumani Magharibi, Korea ya Kusini nk lakini katika nchi za kiislamu na kiarabu za Afghanistani, Iraq, na Libya imeshindikana sababu baada ya wavamizi Marekani kuchukua nchi wenyeji wa nchi zile waakanza maandamano kupinga Marekani.kuwa ni wakoloni na wakristo waliokuja kuwatawala hawakuwapa muda kujenga security system za nchi zile maana anapoondoka dikteta aliyetawala kwa muda mrefu lazima system ianguke kunakuwa na power vacuum ndo maana ni busara kama si lazima mvamizi apewe muda kuijenga

System hii si ngeni maana hata Tanzania ilipovamia Uganda tulibaki na kujenga security ya Uganda hata kupitisha serikali ya muda chini ya Professa Lule baadaye Dk Godfrey Binaisa, si Uganda tu Tanzania ilipovamia Shelisheli kurudisha madarakani serikali ya Franco Albert Rineee majeshi ya Tanzania yalibaki.kule chini ya Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi Tanzania ilipoona security imerudi majeshi yakatoka na kurudi inakuwaje wao waarabu hawaruhusu wavamizi kubaki na kujenga mfumo kwanza? Ndo maana kwao ni machafuko tofauti zaidi tofauti na kwingine walikovamiwa

kwa maelezo haya ya kina yani sina cha kuongeza maelezo yanajitosheleza.
 
Ebola imempa umaarufu bidada, maelfu waliopona West Africa hawana hata chakula baada ya kutengwa na jamii ya kimataifa. Wanahitaji hata kushikwa mkono hawapati, kumbatio lingekuwa faraja ya maisha yao yote.

Namsifu Obama kwa ujasiri wa kumkumbatia huyu dada...hii ni meseji kwa wanaonyanyapaa watu waliopona Ebola.
 
Back
Top Bottom