Wao Wamarekani ndio waliotengeneza AIDS , EBOLA kam ndio Silaha ya kuwaangamiza Watu Duniani sasa Maradhi waliyotengeneza yanawarudia wao wenyewe kazi wanayo.View attachment 196186
View attachment 196187
Nurse Nina Pham aliekuwa kapata maabukizi ya Ebola baada ya kusibitika Dawa imemsaidia na sasa amepona Ugonjwa huo alipoenda kumtembelea Rais Ikulu.(Sasa kama vipimo vimepepesa macho Obama shauli yako)
Wao Wamarekani ndio waliotengeneza AIDS , EBOLA kam ndio Silaha ya kuwaangamiza Watu Duniani sasa Maradhi waliyotengeneza yanawarudia wao wenyewe kazi wanayo.
Chinise Professor.Ndo nani huyo?
Marekani ndio aliyetengeneza hiyo Islamic State ili apate kumuondowa Bashar Asad amka wewe . Marekani ndio aliyetengeneza Taliban na Alkaida ili apate kumpiga M-Rusi amka wewe huyu Siasa za Kibabae za kimarekani.Marekani ndio aliye mpa Saddam Husein Silaha za Sumu Silaha za Kibailojia ili apambane na Serikali ya Kiislam ya Ki-Iran mika ya 1980. Amka wewe mbona umelala? Mkuu NAPITAMhhh!!kwa hapa naweza kuwa tofauti na wewe kwa mara ya kwanza kabisa ingekuwa hivyo wangeupeleka huko kwa wale maadui wao wa Islamic State.
Obama anapenda kukumbatiana jamaniii
Marekani ndio aliyetengeneza hiyo Islamic State ili apate kumuondowa Bashar Asad amka wewe . Marekani ndio aliyetengeneza Taliban na Alkaida ili apate kumpiga M-Rusi amka wewe huyu Siasa za Kibabae za kimarekani.Marekani ndio aliye mpa Saddam Husein Silaha za Sumu Silaha za Kibailojia ili apambane na Serikali ya Kiislam ya Ki-Iran mika ya 1980. Amka wewe mbona umelala? Mkuu NAPITA
we ndo great thinker Wa ukweli
saluti