Obama akubali kosa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama akubali kosa.

Discussion in 'International Forum' started by Exaud J. Makyao, Feb 4, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rais wa Marekani Barack Obama amekubali kwamba alifanya kosa kuhusu uteuzi wa baraza lake la mawaziri .

  Wawili kati ya wanasiasa aliowateua kutoka chama chake cha Democratic, walitiliwa mashaka kuhusu uaminifu wao binafsi katika ulipaji kodi.

  Hatimaye Wanasiasa hao wawili; Seneta Tom na Bibi Nancy, waliamua kukataa kupokea nyadhifa walizopewa kutokana na tuhuma za kutokuwa waaminifu katika ulipaji kodi zinazowahusu wao binafsi.

  Tunajifunza nini kwa nchi zetu za Afrika?
   
 2. J

  Jafar JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tunajifunza kwamba Rais wa nchi za Afrika "hakosei" kuchagua baraza la mawaziri. Akimteua fisadi (bwana asifiwe), akimteua mshikaji (haleluya), akimteua kihiyo (amina).
   
 3. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  That is very interesting.... I like it! Kwi kwi kwii tehe tehe....
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Feb 4, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Na Tim Geithner vipi? Mbona yeye alipokea nyadhifa yake?
   
 5. M

  Mundu JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Inatufundisha kuwa Muungwana anapokosea.... na ikijulikana kuwa amekosea basi apaswa kujirudi na kuomba radhi... na kama kuna maamuzi mazito aliyoyafanya kimakosa basi na ayatengue. Huo ndio uongozi uliopevuka. Sio huu wa Kikwete na Sisiem... Chenge amekumbwa na kashfa ya Mabilioni ya Radar... huyo huyo anapewa kamati ndani ya Sisiem kuchunguza uhalali wa ukodishwaji wa jengo la UVCCM. Halafu yanatokea magazeti yanaandika... chenge aula tena sisiem... wizi mtupu!!!!!
   
 6. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,966
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Kwa Obama ni muungwana.Kwa Pinda mnyamwezi.Mwanakijiji upoo?
   
Loading...