HahahaHapo yupo na bwana'ake au...?
Hahaha
Hii picha ki kweli haija kaa sawa
Mawazo yenu hayajakaa sawa.Hahaha
Hii picha ki kweli haija kaa sawa
Itafika wakati tu utapatikana endelea kumkashifu RaisYule john pumba alivokomaa ataweza hata kushika hiyo kamba???
Kula bata mwana unastahiliWiki tatu zilizopita alikuwa raisi wa USA huyu, Obama sasa hivi amekimbilia Visiwa vya Karibiani huko, yuko na Bilionea Richard Branson ambaye ndiye mmiliki wa hicho Kisiwa Obama alichokimbialia!
Baada ya kukinukisha USA sasa anaendeleza libeneke huku nyuma USA ikiwaka moto!
HahahaaaSijui ndo walikuwa wanataka kulana denda...
Mkuu huoni wewe ndio unakashifu rais?? Ni rais gani unamuongelea kwanza?? Mimi ni mtanzania na rais wangu ni JOHN POMBE MAGUFULI?? sasa huyo wako anayekashifiwa ni nani??Itafika wakati tu utapatikana endelea kumkashifu Rais
Obama rais bora kabisa kutokea United States
Obama ni president bora kabisa US imewahi kupata. Hakuna ukakasi hapoEither hujasoma history au umezidisha ushabiki.
Statement haiko sahihi hiyo