Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Baada ya miezi kadhaa ya vetting ya makanisa, huku akisaidiwa na wapambe wake, hatimaye Mr. Barack Hussein Saitoro Onyango Obama amechagua kanisa la kuabudu, akifuata nyayo za unlikely swahiba George Bush..
Source
Huyo Mr. Barack Hussein Saitoro Onyango Obama ni nani?
Wacha wee...tetesi tu hizo.....Whitehouse wamekataa ushahidi ...kong'oli hapa
Mazee unaishi sayari ipi?
Kuuliza si ujinga.
Naona kama jina ONYANGO linanielekeza Kenya.
Au ulisema kwa utani?
Mkulu si nimeweka linki ya kuwa jamaa wamekataa...naona bado anasearch.....
Ha ha ha..Nimeona..
Kwa hiyo ina maana Mr. Prezidaa bado wanatakasa nyota kwanza baada ya kukikwaa kiti cha enzi ..halafu baadae wakijisikia ndio wataanza kumuabudu Mungu..lol
Kaazi kwelikweli
Amechagua Kanisa gani?
